ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Monday, February 6, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

NGOs ZAKUMBUSHWA KUFUATA MISINGI YA KATIBA, SHERIA NA KANUNI

Dodoma

ALFRED MTEWELE by ALFRED MTEWELE
Jan 19, 2023
in HABARI
0
NGOs ZAKUMBUSHWA KUFUATA MISINGI YA KATIBA, SHERIA NA KANUNI
0
SHARES
21
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

RelatedPosts

SERIKALI YAJA  NA MBINU MBADALA  KUPAMBANA NA UKATILI

SERIKALI YAJA NA MBINU MBADALA KUPAMBANA NA UKATILI

Jan 26, 2023

SERIKALI YAFUTA MASHIRIKA 4898 YASIYO YA KISERIKALI

Jan 26, 2023

KATEKISTA ADAIWA KUBAKA MWANAFUNZI

Jan 24, 2023
Load More
May be an image of 3 people and people standing
Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NGOs) yametakiwa kufuata misingi ya katiba, sheria na kanuni zilizowekwa katika utekelezaji wa majukumu Yao.
Akizindua Bodi ya 5 ya Mashirika Yasiyo ya Kiserikali, jijini Dodoma jana Januari 18, 2023, Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia ,Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima ameitaka Bodi hiyo kusimamia vema uendeshaji wa Mashirika hayo kuanzia ngazi za chini na kufungamanisha taarifa za utekelezaji wa NGO na taarifa za serikali zinazowasilishwa ngazi zote Ili jamii ione tija ya utekelezaji wa NGO na kushirikiana zaidi.
Amesema NGO’s ni wajumbe wa kamati mbalimbali zinazohusika kusukuma ajenda za serikali mfano katika kupambana kutokomeza ukatili wa kijinsia na kwa watoto hivyo, NGO zina haki ya kupaza sauti kwenye Bodi ya NGO iwapo hakuna ufanisi wa kamati na NGO zipo Ili kusaidia. Lengo ni wadau kuisadia serikali na Serikali kuziwezesha NGO kutimiza wajibu wao na wananchi kunufaika.
“Kuna baadhi ya Mashirika yanaendesha shughuli zao kinyume na Sheria za nchi, hivyo mje na njia ya kupata Taarifa. NGOs ziko nyingi zinazofanya kazi Nzuri lakini zipo ambazo zinafanya mambo ambayo hayaendani na Tamaduni zetu, mchukue hatua” Alisisitiza Dkt Gwajima.
Aidha Dkt Gwajima ameipongeza Bodi iliyopita na kuwaagiza kuendelea kutoa ushirikiano kwa wajumbe wa Bodi mpya na kumpongeza Mwenyekiti Bi Mwantumu na Wajumbe wote.
Kwa upande wake, Mwenyekiti mpya wa Bodi Bi Mwantumu Mahiza amemshukuru Raise Samia Suluhi Hassan kwa kumuamini kusimamia chombo hicho muhimu na kuwasisitiza Wajumbe wateule kujipanga kuhakikisha NGOs zinafanya kazi inavyoonekana.
Bi. Mahiza amesema atasimamia Bodi kuhakikisha NGOs zinafanya kazi kwa kufuata kanuni na sheria za nchi kwa kuona kila shirika linafanya nini.
“Umuhimu wa chombo hiki ni kuhakikisha Mashirika yanafanya kazi zinazoonekana, lakini kuna uharaka unahitajika wa sisi kama Bodi kupitia sheria, sera na kanuni ili tuone kama zinaendana na matakwa ya nchi na wakati tulio nao” amesema Mwantumu.
May be an image of 7 people, people sitting, people standing and indoor
May be an image of 9 people, people standing and people sitting
May be an image of 10 people, people sitting, people standing and indoor
May be an image of 2 people, people sitting and indoor
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT

Related

Tags: WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII
ADVERTISEMENT
ALFRED MTEWELE

ALFRED MTEWELE

Related Posts

DIAMOND KANILIPA MILIONI 17 VIDEO YA ZUWENA
HABARI

DIAMOND KANILIPA MILIONI 17 VIDEO YA ZUWENA

by Shabani Rapwi
Feb 5, 2023
VIJANA ACHENI KU-BET FANYENI KAZI – CHONGOLO
HABARI

VIJANA ACHENI KU-BET FANYENI KAZI – CHONGOLO

by Shabani Rapwi
Feb 5, 2023
RAIS WA ZAMANI WA PAKISTAN AFARIKI DUNIA
HABARI

RAIS WA ZAMANI WA PAKISTAN AFARIKI DUNIA

by Shabani Rapwi
Feb 5, 2023
IDADI YA WALIOFARIKI AJALI YA TANGA YAONGEZEKA HADI 20
HABARI

IDADI YA WALIOFARIKI AJALI YA TANGA YAONGEZEKA HADI 20

by Shabani Rapwi
Feb 5, 2023
MANGE KIMAMBI AMCHANA  HAJI MANARA ‘WE NI MTU MZIMA’
HABARI

MANGE KIMAMBI AMCHANA HAJI MANARA ‘WE NI MTU MZIMA’

by Shabani Rapwi
Feb 5, 2023
NAJUA UCHUNGU WA MTOTO SIWEZI – WOLPER
HABARI

NAJUA UCHUNGU WA MTOTO SIWEZI – WOLPER

by Shabani Rapwi
Feb 5, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
January 2023
M T W T F S S
 1
2345678
9101112131415
16171819202122
23242526272829
3031  
« Dec   Feb »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In