ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Monday, February 6, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

Nyepesinyepesi Zinazotikisa Anga la Soka Barani Ulaya

Barani Ulaya

ALFRED MTEWELE by ALFRED MTEWELE
Jan 17, 2023
in MICHEZO
0
Nyepesinyepesi Zinazotikisa Anga la Soka Barani Ulaya

SportsHabari

0
SHARES
14
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

thArsenal wamemfanya Declan Rice kuwa mlengwa wao mkuu wa uhamisho wa majira ya joto na wana imani kuwa wanaweza kushinda Chelsea ili kumsajili kiungo huyo wa kati wa England mwenye umri wa miaka 24. (Times – usajili unahitajika)

Mkurugenzi wa michezo wa Borussia Dortmund Sebastian Kehl anapanga mazungumzo na kiungo wa kati wa Uingereza Jude Bellingham na wazazi wake kuhusu mustakabali wa kinda huyo mwenye umri wa miaka 19, na anasema hakujakuwa na ofa yoyote kwa ajili yake. (Kicker – kwa Kijerumani)

Winga wa Brazil Raphinha amekuwa akihusishwa na Arsenal, lakini mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 26 hana nia ya kuondoka Barcelona mwezi Januari. (Mundo Deportivo – kwa Kihispania)

GETTY IMAGES

Newcastle United wanatazamia kuwasajili kiungo wa kati wa Chelsea wa Uingereza Conor Gallagher, 22, na hge, 26, pamoja na winga wa Morocco mwenye umri wa miaka 29, Hakim Ziyech mwezi huu. (Telegraph – usajili unahitajika)

RelatedPosts

Chelsea Wameweka dau la Euro 120m (£105.6m) Kumnunua Enzo Fernandez

Chelsea Yakubali Ada ya Kuvunja Rekodi ya Uingereza ya £107m Kwa Kiungo wa Benfica

Feb 1, 2023

Chelsea Wameweka dau la Euro 120m (£105.6m) Kumnunua Enzo Fernandez

Jan 31, 2023

MAN ‘U’ YAWANIA SAINI YA VICTOR OSIMHEN

Jan 27, 2023
Load More
ADVERTISEMENT

Mkurugenzi wa michezo wa RB Leipzig Max Eberl anasema “dalili ziko wazi” kwamba fowadi wa Ufaransa Christopher Nkunku, 25, atajiunga na Chelsea . (Bild, kupitia Mail)

Newcastle wamejiunga na Leicester City katika mbio za kumnunua fowadi wa Fiorentina na Argentina Nico Gonzalez, lakini klabu hiyo ya Serie A haitamruhusu mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 24 kwenda kwa chini ya pauni milioni 40. (TuttoMercatoWeb)

Evertonna Newcastle wanafanya mazungumzo juu ya kumsajili mlinzi wa Bayer Leverkusen mwenye umri wa miaka 21 Piero Hincapie ambaye pia amekuwa akihusishwa na Tottenham. (Football Insider)

Chanzo cha Picha: GETTY IMAGES

Beki wa Ufaransa h anasema “anafuraha” katika Arsenal wakati mazungumzo kuhusu mkataba mpya wa mchezaji huyo wa miaka 21 yakiendelea. (Independent)

Leeds United wameongeza dau lao la pauni milioni 22.2 kumnunua kiungo wa kati wa Angers Azzedine Ounahi, 22, ambaye aliivutia Morocco kwenye Kombe la Dunia la 2022. (90Minutes)

Chelsea na Tottenham hawamfukuzi tena mshambuliaji wa Everton Muingereza Anthony Gordon, 21. (CaughtOffside).

Brighton wanavutiwa na mshambuliaji wa Argentina mwenye umri wa miaka 24 Valentin Castellanos, ambaye yuko kwa mkopo Girona kutoka New York City. (Independent)

Credit; BBC Swahili.Com

ADVERTISEMENT

Related

Tags: LIGI KUU ZA BARANI ULAYA
ADVERTISEMENT
ALFRED MTEWELE

ALFRED MTEWELE

Related Posts

NMB yafadhili ziara ya mafunzo Machinga, Bodaboda Dar nchini Rwanda
BIASHARA

NMB yafadhili ziara ya mafunzo Machinga, Bodaboda Dar nchini Rwanda

by I am Krantz
Feb 3, 2023
ANDARE AYEW AJIUNGA NA NOTTINGHAM FOREST
MICHEZO

ANDARE AYEW AJIUNGA NA NOTTINGHAM FOREST

by Shabani Rapwi
Feb 3, 2023
YANGA YAJIBU TAMKO LA SPORTPESA ‘HATUKUBALIANI NA KASHFA HII’
MICHEZO

YANGA YAJIBU TAMKO LA SPORTPESA ‘HATUKUBALIANI NA KASHFA HII’

by Shabani Rapwi
Feb 2, 2023
Kocha Robertinho: “Tunategemea Kupanga Kikosi Kamili”
MICHEZO

Kocha Robertinho: “Tunategemea Kupanga Kikosi Kamili”

by ALFRED MTEWELE
Feb 2, 2023
Nmb Yashiriki Kilele Cha Wiki Ya Sheria Dodoma
HABARI

Nmb Yashiriki Kilele Cha Wiki Ya Sheria Dodoma

by I am Krantz
Feb 2, 2023
BRUNO GOMEZ, PLUIJM WAIBUKA BORA MWEZI JANUARI, LIGI KUU
MICHEZO

BRUNO GOMEZ, PLUIJM WAIBUKA BORA MWEZI JANUARI, LIGI KUU

by ALFRED MTEWELE
Feb 1, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
January 2023
M T W T F S S
 1
2345678
9101112131415
16171819202122
23242526272829
3031  
« Dec   Feb »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In