ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Monday, January 30, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

RAIS ASHAURI KUACHANA NA ZAMA ZA UGOMVI NA KUTUKANANA

Zanzibar

ALFRED MTEWELE by ALFRED MTEWELE
Jan 10, 2023
in HABARI
0
RAIS ASHAURI KUACHANA NA ZAMA ZA UGOMVI NA KUTUKANANA
0
SHARES
28
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

Samia Suluhu Hassan: Who is Tanzania's new interim President? - Apanews.net

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kwamba baada ya kutoa rukhsa ya mikutano ya hadhara huenda wapo ambao watakuja na kasi ya kuanzisha malumbano hivyo amewaomba Vijana wa CCM wasiende kulumbana bali wajibu hoja kwa takwimu, ushahidi n.k

RelatedPosts

CHONGOLO ATAKA MAAMUZI YAFANYIKE NA SIO KULALAMIKA

CHONGOLO ATAKA MAAMUZI YAFANYIKE NA SIO KULALAMIKA

Jan 24, 2023

SARAPHINA AJIACHIA NA “UPO NYONYO” MBELE YA RAIS SAMIA

Dec 7, 2022

RAIS SAMIA ASHIRIKI MKUTANO MKUU WA 10 WA CCM KITAIFA

Dec 7, 2022
Load More

Akizungumza na Vijana kwenye Kilele cha Matembezi Maalum ya UVCCM ya kuadhimisha miaka 59 ya Mapinduzi Zanzibar, Rais Samia amesema “Ukisema kwa ustaarabu na kuchagua ya kusema wewe unajiamini na kama unajiamini huna haja ya kupayuka, unajibu hoja kwa kujiamini na ushahidi lakini unapobwawaja na kupayuka ni ishara ya uoga, niwaombe Vijana wa CCM msiende kupayuka nendeni kajibuni hoja”

ADVERTISEMENT

“Tunapokosolewa tuangalie yale ya kweli tuyachukue tuyafanyie kazi ambayo sio ya kweli tujibu hoja, sasa niwaambie zama za ugomvi, kupigana na kutukanana katika siasa sasa ziishe, twendeni na hoja za maana na za kujenga, tuvumiliane tulete maendeleo ya kweli na yenye tija ili tujenga Tanzania mpya yenye maendelea endelevu, Taifa lenu linawahitaji”

ADVERTISEMENT

Related

Tags: CCM-Tanzania
ADVERTISEMENT
ALFRED MTEWELE

ALFRED MTEWELE

Related Posts

NMB kupeleka washindi 8 Dubai kupitia Droo ya ‘Grand Finale’
HABARI

NMB kupeleka washindi 8 Dubai kupitia Droo ya ‘Grand Finale’

by I am Krantz
Jan 30, 2023
Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti leo Ijumaa 25.11.2022
HABARI

Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Januari 30,2023

by ALFRED MTEWELE
Jan 30, 2023
WATU WENGI WALIJUA NITAVAA RANGI YA KINYOKA NYOKA – MANZOKI
HABARI

WATU WENGI WALIJUA NITAVAA RANGI YA KINYOKA NYOKA – MANZOKI

by Shabani Rapwi
Jan 29, 2023
SIMBA KUSHINDA UBINGWA MSIMU HUU
HABARI

SIMBA KUSHINDA UBINGWA MSIMU HUU

by Shabani Rapwi
Jan 29, 2023
WANAFUNZI WALIOMDHALILISHA MTANDAONI  MWANAFUNZI WA CHUO CHA CDTI WAKAMATWA
HABARI

WANAFUNZI WALIOMDHALILISHA MTANDAONI MWANAFUNZI WA CHUO CHA CDTI WAKAMATWA

by Shabani Rapwi
Jan 29, 2023
MTOTO WA SHILOLE APATA DIVISION 1 KIDATO CHA NNE
HABARI

MTOTO WA SHILOLE APATA DIVISION 1 KIDATO CHA NNE

by Shabani Rapwi
Jan 29, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
January 2023
M T W T F S S
 1
2345678
9101112131415
16171819202122
23242526272829
3031  
« Dec    
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In