ADVERTISEMENT
Klabu ya Al Ahly imeripotiwa kuwa inakusudia kutaka kumsajili Mshambuliaji wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta kwenye dirisha hili la mwezi Januari.
–
Al Ahly inatafuta mshambuliaji wakati ambapo ilihusishwa na mchezaji wa DR Congo, Jackson Muleka hata hivyo ofa yao imegonga mwamba mbele ya Besiktas.
–
Inadaiwa hiyo ndiyo sababu ya Al Ahly kumgeukia nahodha wa Tanzania Mbwana Samatta kama ndiyo tageti yao iliyobaki kipindi hiki cha dirisha la Januari.
ADVERTISEMENT