Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba SC, Salim Abdallah ‘Try Again’ ametoa ahadi kwa wanachama wa klabu hiyo kuwa ni lazima washinde ubingwa wa ligi msimu huu kwa jinsi walivyojipanga.
ADVERTISEMENT
–
“Simba ndiyo timu pekee Tanzania inayokwenda kushiriki ‘Super Cup’ ya Afrika na niwaahidi iwe isiwe ubingwa tunashinda msimu huu kwa uwezo wa Mungu na jinsi tulivyojipanga”.
ADVERTISEMENT