Normal
0
false
false
false
EN-US
X-NONE
X-NONE
MicrosoftInternetExplorer4
/* Style Definitions */
table.MsoNormalTable
{mso-style-name:”Table Normal”;
mso-tstyle-rowband-size:0;
mso-tstyle-colband-size:0;
mso-style-noshow:yes;
mso-style-priority:99;
mso-style-qformat:yes;
mso-style-parent:””;
mso-padding-alt:0in 5.4pt 0in 5.4pt;
mso-para-margin-top:0in;
mso-para-margin-right:0in;
mso-para-margin-bottom:10.0pt;
mso-para-margin-left:0in;
line-height:115%;
mso-pagination:widow-orphan;
font-size:11.0pt;
font-family:”Calibri”,”sans-serif”;
mso-ascii-font-family:Calibri;
mso-ascii-theme-font:minor-latin;
mso-fareast-font-family:”Times New Roman”;
mso-fareast-theme-font:minor-fareast;
mso-hansi-font-family:Calibri;
mso-hansi-theme-font:minor-latin;
mso-bidi-font-family:”Times New Roman”;
mso-bidi-theme-font:minor-bidi;}
Meneja wa Benki ya Tanzania Commercial Bank (TCB) Tawi la
Mbagala Edward Mwoleka, (watatukulia), akikabidhi sehemu ya msaada wa
mifuko 150 ya Cement, kwa Mwalimu Mkuu wa shule ya msingi Kilamba iliyopo
mbagala Charambe iliyotolewa na TCB kwaajili yakufanya maboresho ya madarasa ya
shule hiyo Hafla yakukabidhi msaada huo imefanyika hivi karibuni. kutoka kulia
ni Meneja wa Mawasiliano na Uhusiano wa Tanzania Commercial Bank (TCB) Gloria
Mutta, Diwani wa Kata ya Charambe Twahil Shabani, pamoja na Kaimu Mkuu wa
Wilaya ya Temeke Betha Minga.
Meneja wa Benki ya Tanzania Commercial Bank (TCB) Tawi la
Mbagala Edward Mwoleka, (watatukulia), akikabidhi sehemu ya msaada wa
mifuko 150 ya Cement, kwa Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Temeke Betha Minga,
iliyotolewa na TCB kwaajili yakufanyia maboresho ya madarasa ya shule ya msingi
Kilamba iliyopo Charambe. Hafla yakukabidhi msaada huo imefanyika hivi
karibuni kutoka kulia ni Mwalimu Mkuu wa shule hiyo Leah Masaba,
Diwani wa Kata ya Charambe Twahil Shabani, pamoja na mjumbe wa shule.Meneja wa Mawasiliano na Uhusiano wa Tanzania Commercial
Bank (TCB) Gloria Mutta, (watatukulia), akikabidhi sehemu ya msaada wa mifuko
150 ya Cement, kwa Mtendaji kata ya Charambe Theodora Malata iliyotolewa
na TCB kwaajili yakufanyia maboresho ya madarasa ya shule ya msingi Kilamba
iliyopo Charambe. Hafla yakukabidhi msaada huo imefanyika hivi karibuni
wengine pichani Meneja wa Benki ya Tanzania Commercial Bank (TCB) Tawi la
Mbagala Edward Mwoleka, pamoja na uongozi kutoka kamati ya shule.
Mwalimu Mkuu wa shule ya msingi Kilamba Leah Masaba,
akizungumza wakati wa hafla yakupokea msaada wa mifuko 150 ya Cement iliyotolewa
na TCB kwaajili yakufanyia maboresho ya madarasa ya shule hiyo Mtendaji kaya ya Charambe Theodora Malata, akitoa shukrani kwa niaba ya shule ya Msingi Kilamba kwa uongozi wa TCB baada ya kupokea msaada wa mifuko 150 ya Cement iliyotolewa na TCB kwaajili
yakufanyia maboresho ya madarasa ya shule hiyo iliyopo Charambe
jijini Dar es Salaam.