ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Monday, February 6, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

VIJANA WALIME WACHANE NA KU-BET

Dodoma

ALFRED MTEWELE by ALFRED MTEWELE
Jan 11, 2023
in HABARI
0
VIJANA WALIME WACHANE NA KU-BET
0
SHARES
21
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

RelatedPosts

Waziri Ndaki Awataka Wakulima na Wafugaji Watumie Mbinu Mbadala

Waziri Ndaki Awataka Wakulima na Wafugaji Watumie Mbinu Mbadala

Dec 8, 2022

SERIKALI YAJIPANGA KUWEZESHA WAKULIMA WA MKONGE KUZALISHA KWA TIJA

Dec 8, 2022

SOKO LA PARACHICHI LAFUNGUKA CHINA

Nov 7, 2022
Load More
Serikali kupitia Wizara ya Kilimo imeandaa maeneo wezeshi ya kilimo kwa Vijana ili kuwekeza kwenye kilimo na kuwaondoa kwenye maisha ya ku-bet.
Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Kilimo Anthony Mavunde Jijini Dodoma katika Mkutano na Wahariri uliolenga kutekeleza ushiriki wa Vijana katika kilimo biashara programu inayotarajia kuongeza ajira kwa Vijana 3000 na kuongeza ukuaji wa Sekta ya Kilimo hadi kufikia asilimia 10 ifikapo mwaka 2030
“Vijana wetu wanatamani kufanya kilimo lakini miundombinu ya kuwafanya wakafanya kilimo haikuwa rafiki sana sisi tumeamua kukifanya kilimo kivutie na Vijana watoke kwenye kubet wakalime kwahiyo tulichokiamua tuliweka mazingira rafiki kumfanya Kijana avutike akalime tumeamua kusafisha maeneo na kuweka miundombinu, tutawasaidia miundombinu na tutawatafutia masoko”
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT

Related

Tags: WIZARA YA KILIMO
ADVERTISEMENT
ALFRED MTEWELE

ALFRED MTEWELE

Related Posts

DIAMOND KANILIPA MILIONI 17 VIDEO YA ZUWENA
HABARI

DIAMOND KANILIPA MILIONI 17 VIDEO YA ZUWENA

by Shabani Rapwi
Feb 5, 2023
VIJANA ACHENI KU-BET FANYENI KAZI – CHONGOLO
HABARI

VIJANA ACHENI KU-BET FANYENI KAZI – CHONGOLO

by Shabani Rapwi
Feb 5, 2023
RAIS WA ZAMANI WA PAKISTAN AFARIKI DUNIA
HABARI

RAIS WA ZAMANI WA PAKISTAN AFARIKI DUNIA

by Shabani Rapwi
Feb 5, 2023
IDADI YA WALIOFARIKI AJALI YA TANGA YAONGEZEKA HADI 20
HABARI

IDADI YA WALIOFARIKI AJALI YA TANGA YAONGEZEKA HADI 20

by Shabani Rapwi
Feb 5, 2023
MANGE KIMAMBI AMCHANA  HAJI MANARA ‘WE NI MTU MZIMA’
HABARI

MANGE KIMAMBI AMCHANA HAJI MANARA ‘WE NI MTU MZIMA’

by Shabani Rapwi
Feb 5, 2023
NAJUA UCHUNGU WA MTOTO SIWEZI – WOLPER
HABARI

NAJUA UCHUNGU WA MTOTO SIWEZI – WOLPER

by Shabani Rapwi
Feb 5, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
January 2023
M T W T F S S
 1
2345678
9101112131415
16171819202122
23242526272829
3031  
« Dec   Feb »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In