Msanii YAMMI @yammitz kutoka Label ya #TheAfricanPrincess yake NANDY @officialnandy baada ya Video ya wimbo wake #Namchukia kutoka na Kufukisha Jumla Ya Views Milioni 1 Ndani Ya Siku Mbili, amefunguka kuwashukuru mashabiki.
Kupitia IG yake #YAMMI ameandika………….”Woooow 1 Million Views in 2 days sina cha kuwalipa zaidi ya kusema asanteni sana mapenzi yenu ni makubwa mno 🙌🏽😭nMy team @the_african_princess_label @mziiki mnafanya kazi kubwa sana am proud of my self👸
MY BOSS @officialnandy YOUR MY HERO ❤️ Link on my bio 👆🏾 enjoy good music”
ADVERTISEMENT