Klabu ya Nottingham Forest imemsajili nahodha wa timu ya taifa Ghana, Andre Ayew kwa mkataba wa miezi 6 kutoka klabu ya Al Sadd SC ya Qatar.
–
Dede Ayew (33) anatua klabuni hapo baada ya kuachana na miamba hiyo ya Jiji la Doha, Qatar.
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT