ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Wednesday, March 22, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

BATULI AFUNGUKA MAZITO KUHUSU NDOA, KISA DR MWAKA NA MKEWE

Shabani Rapwi by Shabani Rapwi
Feb 8, 2023
in HABARI
0
BATULI AFUNGUKA MAZITO KUHUSU NDOA, KISA DR MWAKA NA MKEWE
0
SHARES
39
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

 

RelatedPosts

MECHI ZITASIMAMA EPL KUPISHA ‘IFTAR’

MECHI ZITASIMAMA EPL KUPISHA ‘IFTAR’

Mar 21, 2023

AFUNGIWA MIAKA 40 KUTOINGIA UWANJANI

Mar 21, 2023

MWANAFUNZI AFARIKI KWA KUPIGWA RISASI NA POLISI KENYA

Mar 21, 2023
Load More

 

Mwigizaji na mama wa watoto wawili, Batuli afunguka kwa uchungu kuhusu sakata la Ndoa baina ya Queen na Dr. Mwaka

 

 

 

–

 

 

 

“Tumezoea Kusubiri Mtu Afe Ndio Tutafute Cha Kuongea, Wanawake Wengi Tunaishi Na Wenza Wetu Ili Watu Watuone Tupo Kwenye Maisha Ya Ndoa Ila Ukweli Ni Kwamba Wengi Wetu Ni WATUMWA Na Tunaishi Aidha Kwa Kulea Watoto Wakue Au Siku Ziende Kifo Kifike Tuondoke Huo Ndio Ukweli Wa 100%” ameandika Batuli na kuendelea..

 

 

 

 

–

 

 

 

 

“Machozi, Maumivu, Mateso Na Unyanyasaji Ndio Vimejaa Kwenye Ndoa Nyingi Sana Na Akisimama Mwanamke Mmoja Kama Huyu Basi Anaonekana Hana Uvumilivu Na Kubezwa Juu Na Ukikaa Kimya Na Kukubali Haya Kifo Chako Ndio Kinakuja Kuongea, Mbaya Zaidi Akitokea Au Wakitokea Wanaume Kusimama Na Wewe Watachafuliwa Kwa Hali Na Mali Ili Tu Uendelee Kuishi Kwenye Jahanam Ya Dunia”

 

 

 

–

 

 

ADVERTISEMENT

“Wanawake Wenzangu Hakuna Neno Nimetoka Nae Mbali Au Nimechuma Nae Mali Acheni Utumwa Wa Akili Na Upofu Wa Mali, Furaha Huna, Amani Huna Yaani Duniani Haupo Na Akhera Unauliziwa, Amkeni Na Mjipiganie Kisha Msaada Utakukuta Mbele Kwa Mbele” amesisitiza Batuli na kumalizia kwa kusema “Huyu Dada Anahitaji Msaada Mkubwa Sana Sio Kubezwa Wala Kuzomewa Kifupi Huyu Ni Shujaa Haswa 👏🏽💪🏽 Queen”

 

 

 

–

 

 

ADVERTISEMENT

 

 

Queen ambaye anajishughulisha na utengenezaji wa keki, imeelezwa yeye na Dr. Mwaka wameishi pmoja takribani miaka 10 huku wakiwa wamejaaliwa watoto wawili Queen amesema kwa hatua aliyofikia mali sio muhimu kwake bali anataka talaka yake awe na maisha yake mengine yenye amani badala ya vitisho na kukosa uhuru juu ya maisha yake hata hivyo Dr.Mwaka anaonekan ahayupo tayari kutoa talaka sababu haijawa wazi

Related

ADVERTISEMENT
Shabani Rapwi

Shabani Rapwi

Related Posts

AFUNGIWA MIAKA 40 KUTOINGIA UWANJANI
HABARI

AFUNGIWA MIAKA 40 KUTOINGIA UWANJANI

by Shabani Rapwi
Mar 21, 2023
MWANAFUNZI AFARIKI KWA KUPIGWA RISASI NA POLISI KENYA
HABARI

MWANAFUNZI AFARIKI KWA KUPIGWA RISASI NA POLISI KENYA

by Shabani Rapwi
Mar 21, 2023
WASIOJULIKANA WAFUKUA KABURI WATOA MWILI WA MAREHEMU NA KUONDOKA NA SEHEMU ZA SIRI
HABARI

WASIOJULIKANA WAFUKUA KABURI WATOA MWILI WA MAREHEMU NA KUONDOKA NA SEHEMU ZA SIRI

by Shabani Rapwi
Mar 21, 2023
BIKIRA JANE APATA MTOTO
HABARI

BIKIRA JANE APATA MTOTO

by Shabani Rapwi
Mar 21, 2023
ASKARI ANAYETUHUMIWA KUINGILIWA KINYUME NA MAUMBILE ASOMEWA MASHTAKA
HABARI

ASKARI ANAYETUHUMIWA KUINGILIWA KINYUME NA MAUMBILE ASOMEWA MASHTAKA

by ALFRED MTEWELE
Mar 21, 2023
SEVILLA YAMFUTA KAZI KOCHA JORGE SAMPOLI NA KUMTEUA KOCHA HUYO
HABARI

SEVILLA YAMFUTA KAZI KOCHA JORGE SAMPOLI NA KUMTEUA KOCHA HUYO

by Shabani Rapwi
Mar 21, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
February 2023
M T W T F S S
 12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
2728  
« Jan   Mar »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In