ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Sunday, April 2, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

DAYOO AFUNGUKA KWANINI ANASEMA “NAITWA MANGI…”

Dar es Salaam

ALFRED MTEWELE by ALFRED MTEWELE
Feb 7, 2023
in BURUDANI
0
DAYOO AFUNGUKA KWANINI ANASEMA “NAITWA MANGI…”
0
SHARES
13
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

May be an image of 4 people, people standing and outdoorsMsanii wa Muziki wa Kizazi kipya Dayoo amefunguka kupitia kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio kwanini huwa anapenda kusema “NAITWA MANGI, NI MCHAGA TENA…” katika sehemu ya utangulizi wa nyimbo zake.

Hiyo imeelezwa baada ya Mtangazaji Abdallah Ambua (Dullah Planet) kugusia kuwa imetokea maranyingi yeye kuulizwa inamaanisha nini Dayo anapotumia aina hiyo ya maneno katika sehemu ya Sanaa yake.

RelatedPosts

MORGAN HERITAGE KUACHIA ALBUM YAO APRILI 21

MORGAN HERITAGE KUACHIA ALBUM YAO APRILI 21

Mar 24, 2023

TEMS ASHINDA TUZO YA GRAMMY, NI YA KWANZA KWA MSANII WA KIKE NIGERIA

Feb 6, 2023

MARIOO AMSHUKURU RAIS KIKWETE KUITIKIA MWALIKO WAKE

Jan 31, 2023
Load More

Dayo alijibu kuwa “Mimi ni Mchaga kabisa kutokea Kilimanjaro” na kuongeza zaidi akasema kwamba amesoma na kukuwa kwa muda kidogo huko ila baada ya Bi mkubwa wake kuweka sawa baadhi ya mambo wakahamia Kigamboni hapa Jijini Dar es Salaam na ndiko alikoendelea na masomo baadae mishe nyingine kama hizi za muziki.No photo description available.May be an image of 4 people, people standing, footwear and outdoors

ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT

Related

Tags: SANAA YA MUZIKI
ALFRED MTEWELE

ALFRED MTEWELE

Related Posts

MORGAN HERITAGE KUACHIA ALBUM YAO APRILI 21
BURUDANI

MORGAN HERITAGE KUACHIA ALBUM YAO APRILI 21

by ALFRED MTEWELE
Mar 24, 2023
CHUCHU HANS AZINDUA TAMTHILIA YAKE
BURUDANI

CHUCHU HANS AZINDUA TAMTHILIA YAKE

by ALFRED MTEWELE
Mar 22, 2023
MWANAMUZIKI AKA AFARIKI DUNIA KWA KUPIGWA RISASI
BURUDANI

MWANAMUZIKI AKA AFARIKI DUNIA KWA KUPIGWA RISASI

by Shabani Rapwi
Feb 11, 2023
BEYONCÉ AVUNJA REKODI TUZO ZA GRAMMY
BURUDANI

BEYONCÉ AVUNJA REKODI TUZO ZA GRAMMY

by Shabani Rapwi
Feb 6, 2023
TEMS ASHINDA TUZO YA GRAMMY, NI YA KWANZA KWA MSANII WA KIKE NIGERIA
BURUDANI

TEMS ASHINDA TUZO YA GRAMMY, NI YA KWANZA KWA MSANII WA KIKE NIGERIA

by ALFRED MTEWELE
Feb 6, 2023
Diamond; Mwaka Jana Biashara, Mwaka Huu ni Mziki kwa Sana
BURUDANI

Diamond; Mwaka Jana Biashara, Mwaka Huu ni Mziki kwa Sana

by ALFRED MTEWELE
Feb 3, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
February 2023
M T W T F S S
 12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
2728  
« Jan   Mar »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In