ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Wednesday, March 22, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

Diamond; Mwaka Jana Biashara, Mwaka Huu ni Mziki kwa Sana

Dar es Salaam

ALFRED MTEWELE by ALFRED MTEWELE
Feb 3, 2023
in BURUDANI
0
Diamond; Mwaka Jana Biashara, Mwaka Huu ni Mziki kwa Sana
0
SHARES
120
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

ImageMsanii wa muziki wa Bongo Fleva, @diamondplatnumz leo Ijumaa, February 03, 2023 ameachia video ya wimbo wake mpya unaoitwa ‘Zuwena’ ikiwa ni moja ya Kuonyesha dhahiri kuwa Mwaka huu yupo zaidi kuwekeza nguvu zaidi kwenye kazi yake ya sanaa ya Muziki.yatapita - YouTubeRead Yatapita Lyrics By Diamond Platnumz | Notjustok East AfricaIkumbukwe kuwa Mwezi Januari alianza kwa kuachia wimbo unaofahamika kama My Baby halafu ukafuatiwa na wimbo uitwao “YATAPITA” ambao umefanya poa sana katika majukwaa mbalimbali ya Muziki mtandaoni.

Kwa sasa anadhihirisha urejeo wake kamili wa kufanya makubwa zaidi katika huu mwaka yaani kwa mwezi wa kwanza na wa pili ameshachia jumla ya Nyimbo Tatu.

RelatedPosts

No Content Available
Load More

EP | Diamond Platnumz – First Of All (FOA)Msanii huyo mwaka jana japo alifanikiwa kuachia baadhi ya nyimbo na kumalizia na EP yake ya First Of All (FOA) bado sehemu kubwa ya nguvu yake aliiwekeza zaidi katika sekta ya Biashara ikijumuisha kufanyia promosheni zaidi kampuni inayojihusisha na michezo ya bahati nasibu ijulikanayo kama “WasafiBet” na Kuongeza zaidi masafa ya urushaji wa matangazo ya Wasafi Media hapa nchini katika maeneo ya mikoani kama vile alivyofanikiwa kufanya hivyo kwa jiji la Mbeya na Mwanza.

ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT

Related

Tags: wcb wasafi
ADVERTISEMENT
ALFRED MTEWELE

ALFRED MTEWELE

Related Posts

MWANAMUZIKI AKA AFARIKI DUNIA KWA KUPIGWA RISASI
BURUDANI

MWANAMUZIKI AKA AFARIKI DUNIA KWA KUPIGWA RISASI

by Shabani Rapwi
Feb 11, 2023
DAYOO AFUNGUKA KWANINI ANASEMA “NAITWA MANGI…”
BURUDANI

DAYOO AFUNGUKA KWANINI ANASEMA “NAITWA MANGI…”

by ALFRED MTEWELE
Feb 7, 2023
BEYONCÉ AVUNJA REKODI TUZO ZA GRAMMY
BURUDANI

BEYONCÉ AVUNJA REKODI TUZO ZA GRAMMY

by Shabani Rapwi
Feb 6, 2023
TEMS ASHINDA TUZO YA GRAMMY, NI YA KWANZA KWA MSANII WA KIKE NIGERIA
BURUDANI

TEMS ASHINDA TUZO YA GRAMMY, NI YA KWANZA KWA MSANII WA KIKE NIGERIA

by ALFRED MTEWELE
Feb 6, 2023
MARIOO AMSHUKURU RAIS KIKWETE KUITIKIA MWALIKO WAKE
BURUDANI

MARIOO AMSHUKURU RAIS KIKWETE KUITIKIA MWALIKO WAKE

by ALFRED MTEWELE
Jan 31, 2023
NDOA YA DK MWAKA HAIJAVUNJIKA , UAMUZI ULIKUWA BATILI
. DODOMA

NDOA YA DK MWAKA HAIJAVUNJIKA , UAMUZI ULIKUWA BATILI

by Shabani Rapwi
Jan 27, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
February 2023
M T W T F S S
 12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
2728  
« Jan   Mar »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In