Mlinda mlango wa Uturuki Ahmet Eyup Turkaslan amefariki dunia kufuatia tetemeko la ardhi lililotokea Jumatatu nchini kwao.
klabu yake ya Yeni Malatyaspor imethibitisha. Zaidi ya watu 5,000 wamepoteza maisha nchini Uturuki na Syria kufuatia tetemeko hilo la ardhi.