ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Sunday, April 2, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

HAJI MANARA AIJIA JUU BODI YA LIGI KISA CLEAN SHEETS, SIMBA SC

Dar es Salaam

ALFRED MTEWELE by ALFRED MTEWELE
Feb 7, 2023
in MICHEZO
0
HAJI MANARA AIJIA JUU BODI YA LIGI KISA CLEAN SHEETS, SIMBA SC
0
SHARES
29
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

RelatedPosts

FEISAL SALUM ATAJWA TAIFA STARS KUCHEZA AFCON 2023

FEISAL SALUM ATAJWA TAIFA STARS KUCHEZA AFCON 2023

Mar 13, 2023

BRUNO GOMEZ, PLUIJM WAIBUKA BORA MWEZI JANUARI, LIGI KUU

Feb 1, 2023

TFF YAMPONGEZA MURTAZA MANGUNGU, SIMBA SC

Jan 31, 2023
Load More
Haji Manara aitolea uvivu Bodi ya Ligi kuu ya NBC Tanzania bara (TPLB) kuhusu takwimu za Golikipa wa Simba SC, Aishi Manula.
Manara ameshangazwa na takwimu za clean sheets (idadi ya mechi alizocheza bila kuruhusu goli) 11.
“Pls Pls Pls acheni kucook Namba,mnaharibu sana ndugu zangu.
Mnaweza kutwambia hizo Cleansheet kumi na moja kazipatia wapi na game zipi?
Sio lazma kupika pika Statistics, bado mmehesabu hadi game aliyocheza Dakika chini ya 45, leo mmemuongezea nyingine, mnajiondolee uhalali wa kuaminika Kwa hizo data zenu.
Mnalosahau @azamtvtz wanatuonyesha mechi zote hizo na takwimu tunazo.
Hope mtafuta hii post yenu na kuweka statistics za kweli otherwise mtaonekane mmeandaa jambo kwa interest zenu,,
Nb::: Au Kama vp mpeni Cleansheet mia mfurahi nyie” ameandika Manara kupitia ukurasa wake Instagram.
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT

Related

Tags: TFF
ALFRED MTEWELE

ALFRED MTEWELE

Related Posts

SAKA AIBUKA MCHEZAJI BORA WA MWEZI MACHI EPL
MICHEZO

SAKA AIBUKA MCHEZAJI BORA WA MWEZI MACHI EPL

by ALFRED MTEWELE
Mar 31, 2023
HAWA HAPA NYOTA WANAOTAZAMWA ZAIDI KUTUA MAN ‘U’
MICHEZO

HAWA HAPA NYOTA WANAOTAZAMWA ZAIDI KUTUA MAN ‘U’

by ALFRED MTEWELE
Mar 31, 2023
CHELSEA YATAKA PAUNI MIL. 70 MAUZO YA MOUNT
MICHEZO

CHELSEA YATAKA PAUNI MIL. 70 MAUZO YA MOUNT

by ALFRED MTEWELE
Mar 31, 2023
TAIFA STARS YAAHIDI KUENDELEZA ILIPOISHIA
MICHEZO

TAIFA STARS YAAHIDI KUENDELEZA ILIPOISHIA

by ALFRED MTEWELE
Mar 28, 2023
Naibu Waziri   aipongeza Benki ya NBC kwa kusaidia maendeleo ya  michezo
HABARI

Naibu Waziri aipongeza Benki ya NBC kwa kusaidia maendeleo ya michezo

by I am Krantz
Mar 27, 2023
NAIBU WAZIRI “FA” AIUNGA MKONO TAIFA STARS, AFCON 2023
MICHEZO

NAIBU WAZIRI “FA” AIUNGA MKONO TAIFA STARS, AFCON 2023

by ALFRED MTEWELE
Mar 24, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
February 2023
M T W T F S S
 12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
2728  
« Jan   Mar »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In