
Klabu ya Manchester City wameshtakiwa na Premier League kwa madai ya kuvunja sheria nyingi za matumizi ya kifedha kati ya 2009 na 2018.
–
City inakabiliwa na mashtaka zaidi ya 100 ya kukiuka sheria za Premier League za matumizi ya pesa.
Ikiwa mashtaka yatathibitishwa, adhabu zinaweza kuwa, kupunguzwa pointi au kushushwa daraja.
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT