ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Wednesday, March 22, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

NMB KUWAPELEKA DUBAI WASHINDI 7 WA KAMPENI YA NMB MastaBata Kote Kote

I am Krantz by I am Krantz
Feb 8, 2023
in HABARI, MICHEZO
0
NMB KUWAPELEKA DUBAI WASHINDI 7 WA KAMPENI YA NMB MastaBata Kote Kote
0
SHARES
16
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

 

 

RelatedPosts

MECHI ZITASIMAMA EPL KUPISHA ‘IFTAR’

MECHI ZITASIMAMA EPL KUPISHA ‘IFTAR’

Mar 21, 2023

AFUNGIWA MIAKA 40 KUTOINGIA UWANJANI

Mar 21, 2023

MWANAFUNZI AFARIKI KWA KUPIGWA RISASI NA POLISI KENYA

Mar 21, 2023
Load More

 

 

ADVERTISEMENT
Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi na Biashara wa Benki ya NMB – Filbert Mponzi (wa pili kushoto) na mwanahabari – Millard Ayo (wa pili kulia), wakibonyeza kitufe cha kompyuta wakati wa droo ya kutafuta washindi saba wa ‘Grand Finale’ ya kampeni ya NMB MastaBata Kote Kote. Wakishihudia ni Mkuu wa Kitengo cha Kadi wa NMB – Philbert Casmir (kushoto) na Msimamizi kutoka Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania (GBT) – Upendo Mfuru.

Kampeni ya kuhamasisha matumizi ya NMB mastercard na QR Code ‘Lipa Mkononi’ iitwayo NMB MastaBata ‘Kote Kote’, imefikia ukomo kwa wateja 7 na wenza wao kujishindia safari ya Dubai kwa siku nne inayogharamiwa kila kitu na Benki ya NMB.
Kampeni hii imeendeshwa kwa miezi mitatu na kutoa zawadi mbalimbali zenye thamani ya zaidi ya Sh. Mil. 350 kwa washindi.

Akizungumza katika droo hiyo ya fainali Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi na Biashara wa Benki ya NMB – Filbert Mponzi aliwataja washindi hao kua ni: Upendo Yohana Msanjila (Dar), Edwin Sett Mwakabage (Kilimanjaro), Benigna Xaveria Hyera (Dar), Nazia Abdulsatar Lakha (Dar), John Wayne Lubisha (Dodoma), Chintan Chandrakant Kamania (Dar) na Qamara Rose Aloyce (Arusha)

Kampeni ya NMB MastaBata ‘Kote Kote’ msimu wa nne ilizinduliwa Oktoba 28 mwaka jana ili kuchagiza matumizi yasiyohusisha pesa taslimu ‘cashless’

Kabla ya ‘grand finale’ hiyo, jumla ya washindi 750 walishinda pesa kiasi cha Sh.100,000 kila mmoja, wengine 98 wakizawadiwa Sh. Mil. 1 kila mmoja, huku washindi 12 wakitwaa bodaboda moja moja zenye thamani ya Sh. Mil. 3 kwa kila moja na washindi wengine wanne wakijishindia safari ya Zanzibar kuhudhuria Tamasha la NMB Full Moon Party.

ADVERTISEMENT

Kampeni hiyo imekuwa ya mafanikio makubwa kwa kufanikiwa kubadili tamaduni za matumizi ya kadi na QR Code ambayo ni salama, rahisi na nafuu zaidi.

Related

ADVERTISEMENT
I am Krantz

I am Krantz

👉 FOUNDER & CEO of KONCEPT 👉Serial & Self-made Entrepreneur 👉Digital media consultant 👉Pr & media Guru/Awards winner Blogger 👉Startuper of the year 2016 by TOTAL 👉TOP 50 Most influential young Tanzania 2017 👉General Secretary at Tanzania Bloggers Network 👉 UPG Sustainability Leader in the Class of 2021 👉 ALUMNI The Tony Elumelu Foundation 👉Chairman YOUNG CEO CLUB Tanzania 🇹🇿 ‘ 😊 Marketer BY Education, Entrepreneur BY Profession & Blogger BY Passion ”😊

Related Posts

MECHI ZITASIMAMA EPL KUPISHA ‘IFTAR’
MICHEZO

MECHI ZITASIMAMA EPL KUPISHA ‘IFTAR’

by ALFRED MTEWELE
Mar 21, 2023
AFUNGIWA MIAKA 40 KUTOINGIA UWANJANI
HABARI

AFUNGIWA MIAKA 40 KUTOINGIA UWANJANI

by Shabani Rapwi
Mar 21, 2023
MWANAFUNZI AFARIKI KWA KUPIGWA RISASI NA POLISI KENYA
HABARI

MWANAFUNZI AFARIKI KWA KUPIGWA RISASI NA POLISI KENYA

by Shabani Rapwi
Mar 21, 2023
WASIOJULIKANA WAFUKUA KABURI WATOA MWILI WA MAREHEMU NA KUONDOKA NA SEHEMU ZA SIRI
HABARI

WASIOJULIKANA WAFUKUA KABURI WATOA MWILI WA MAREHEMU NA KUONDOKA NA SEHEMU ZA SIRI

by Shabani Rapwi
Mar 21, 2023
BIKIRA JANE APATA MTOTO
HABARI

BIKIRA JANE APATA MTOTO

by Shabani Rapwi
Mar 21, 2023
ASKARI ANAYETUHUMIWA KUINGILIWA KINYUME NA MAUMBILE ASOMEWA MASHTAKA
HABARI

ASKARI ANAYETUHUMIWA KUINGILIWA KINYUME NA MAUMBILE ASOMEWA MASHTAKA

by ALFRED MTEWELE
Mar 21, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
February 2023
M T W T F S S
 12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
2728  
« Jan   Mar »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In