ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Sunday, April 2, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

NMB WAZINDUA KAMPENI YA “UMEBIMA TELEZA NA HII”ZANZIBAR

I am Krantz by I am Krantz
Feb 9, 2023
in HABARI
0
NMB WAZINDUA  KAMPENI YA “UMEBIMA TELEZA NA HII”ZANZIBAR
0
SHARES
10
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

 

Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi – Idrissa Kitwana Mustafa na Mkuu wa Idara ya Bima wa Benki ya NMB – Martine Massawe wakipeperusha bendera kuashiria uzinduzi rasmi wa kampeni ya Umebima kwa Zanzibar. Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Mjini, Rashid Simai Msaraka na Kulia ni Meneja wa Biashara wa Benki ya NMB Zanzibar, Naima Said Shaame.
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi – Idrissa Kitwana Mustafa, Mkuu wa Idara ya Bima wa Benki ya NMB – Martine Massawe, Mkuu wa Wilaya ya Mjini, Rashid Simai Msaraka na Meneja wa Biashara wa Benki ya NMB Zanzibar- Naima Said Shaame katika picha ya pamoja na wawakilishi wa makampuni ya bima, mara baada ya uzinduzi wa kampeni ya Umebima visiwani Zanzibar.
Wananchi viziwani Zanzibar wakiendelea kupata huduma mbalimbali baada ya uzinduzi wa kampeni ya Umebima.
Sehemu ya wananchi waliohudhuria uzinduzi wa kampeni ya Umebima visiwani Zanzibar

Benki ya NMB ikiwa wasambazaji wa bidhaa mbalimbali za makampuni 10 ya bima, wamezindua rasmi kampeni ya ‘Umebima – Teleza na Hii!’ visiwani Zanzibar itakayowawezesha kutoa elimu na kuhamasisha mauzo ya bima mbalimbali zikiwemo za: Majanga, afya, moto, machinga, maisha, vikundi, vyombo vya moto, nyumba, biashara, kilimo, usafirishaji na kadhalika, zitakazosaidia kutoa fidia endapo majanga yatatokea.

RelatedPosts

EX MSUMBUFU KUFUNGWA JELA MIAKA MITANO

EX MSUMBUFU KUFUNGWA JELA MIAKA MITANO

Apr 2, 2023

CAMERA ILIYOPOTEA MIAKA 13 YAPATIKANA KWENYE MATOPE PICHA BADO ZIPO VIZURI

Apr 2, 2023

AFUKUA MAITI YA MAMA YAKE NA KUKAA NAYO NDANI

Apr 2, 2023
Load More

Kampeni hii imezinduliwa na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi – Idrissa Kitwana Mustafa na Mkuu wetu wa Idara ya Bima wa NMB – Martine Massawe, huku Mkuu wa Wilaya ya Mjini, Rashid Simai Msaraka na Meneja wa Biashara wa NMB Zanzibar – Naima Said Shaame wakishuhudia.

Akizungumza katika hafla ya uzinduzi Bw. Idrissa Kitwana Mustafa aliwaasa wananchi kuchukua juhudi ya kuzielewa aina zitolewazo za bima, ili waweze kukata kwani ni kwa manufaa yao ya sasa na hata baadae.

ADVERTISEMENT

Lakini pia, aliiipongeza NMB kwa ubunifu wa kampeni hii ambayo ni fursa nzuri ya maendeleo.

ADVERTISEMENT

Aidha, Mkuu wa Idara ya Bima wa benki hiyo, Bw. Martine Massawe, alisema timu ya NMB itakua mitaa mbalimbali visiwani Zanzibar kwa mwezi mzima kuhakisha wanatoa elimu ya bima na wanananchi wanaelewa ili waweze kuchagua ni ipi wanaihitaji. Bima hizi, mteja wa NMB na asiyekua mteja anaweza kuzinunua kutoka kwa matawi ya benki hiyo yaliyotapakaa nchi nzima.

Related

I am Krantz

I am Krantz

👉 FOUNDER & CEO of KONCEPT 👉Serial & Self-made Entrepreneur 👉Digital media consultant 👉Pr & media Guru/Awards winner Blogger 👉Startuper of the year 2016 by TOTAL 👉TOP 50 Most influential young Tanzania 2017 👉General Secretary at Tanzania Bloggers Network 👉 UPG Sustainability Leader in the Class of 2021 👉 ALUMNI The Tony Elumelu Foundation 👉Chairman YOUNG CEO CLUB Tanzania 🇹🇿 ‘ 😊 Marketer BY Education, Entrepreneur BY Profession & Blogger BY Passion ”😊

Related Posts

EX MSUMBUFU KUFUNGWA JELA MIAKA MITANO
HABARI

EX MSUMBUFU KUFUNGWA JELA MIAKA MITANO

by Shabani Rapwi
Apr 2, 2023
CAMERA ILIYOPOTEA MIAKA 13 YAPATIKANA KWENYE MATOPE PICHA BADO ZIPO VIZURI
HABARI

CAMERA ILIYOPOTEA MIAKA 13 YAPATIKANA KWENYE MATOPE PICHA BADO ZIPO VIZURI

by Shabani Rapwi
Apr 2, 2023
AFUKUA MAITI YA MAMA YAKE NA KUKAA NAYO NDANI
HABARI

AFUKUA MAITI YA MAMA YAKE NA KUKAA NAYO NDANI

by Shabani Rapwi
Apr 2, 2023
MUUGUZI AFARIKI AKIJIFANYIA HUDUMA MWENYEWE
HABARI

MUUGUZI AFARIKI AKIJIFANYIA HUDUMA MWENYEWE

by Shabani Rapwi
Apr 2, 2023
CHINA NA BRAZIL ZAIKATAA DOLA YA MAREKANI
HABARI

CHINA NA BRAZIL ZAIKATAA DOLA YA MAREKANI

by Shabani Rapwi
Apr 2, 2023
YANGA TUNAHITAJI KUIFUNGA MAZEMBE TUONGOZE KUNDI
HABARI

YANGA TUNAHITAJI KUIFUNGA MAZEMBE TUONGOZE KUNDI

by Shabani Rapwi
Apr 1, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
February 2023
M T W T F S S
 12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
2728  
« Jan   Mar »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In