ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Wednesday, March 22, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

PICHA ZA NGONO KUDHIBITIWA ZAIDI

Dodoma

ALFRED MTEWELE by ALFRED MTEWELE
Feb 10, 2023
in HABARI
0
PICHA ZA NGONO KUDHIBITIWA ZAIDI
0
SHARES
19
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

RelatedPosts

Kamati ya Bunge yatinga Makao Makuu ya TCRA

Kamati ya Bunge yatinga Makao Makuu ya TCRA

Nov 14, 2022

TANZANIA YAWA MJUMBE WA BARAZA LA MAWASILIANO DUNIANI 2023 HADI 2026

Oct 4, 2022

Waziri Nnauye Ashiriki Mkutano Mkuu wa Mawasiliano Duniani Romania, Bucharest

Sep 29, 2022
Load More
EXCLUSIVE: NAPE Aelezea 'Bao la Mkono' na Jamii Forum Kufungiwa - YouTubeSerikali kupitia Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imeongeza uwekezaji ambao unatarajiwa kuongeza nguvu ya kudhibiti taarifa ambazo zinamomonyoa maadili ya nchi kama vile picha za ngono.
Kauli hiyo imetolewa Bungeni Dodoma leo February 10, 2023 na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknoloji ya Habari, Nape Nnauye wakati akijibu swali la Mbunge wa Kinondoni, Abbas Tarimba aliyeuliza kama Serikali ipo tayari kuchukua hatua za kuzuia picha za ngono kuonekana kwenye simu ili kuokoa Vijana.
Waziri Nape akijibu amesema mfumo unaokuja ukikamilika masuala ya picha za ngono yatakuwa yamedhibitiwa kwa kiasi kikubwa aidha amesema Serikali ina uwezo wa kufuatilia na kujua anayesambaza picha chafu hivyo amewaomba Watanzania endapo Mtu atatumiwa picha chafu ni bora kuifuta.
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT

Related

Tags: TCRA
ADVERTISEMENT
ALFRED MTEWELE

ALFRED MTEWELE

Related Posts

AFUNGIWA MIAKA 40 KUTOINGIA UWANJANI
HABARI

AFUNGIWA MIAKA 40 KUTOINGIA UWANJANI

by Shabani Rapwi
Mar 21, 2023
MWANAFUNZI AFARIKI KWA KUPIGWA RISASI NA POLISI KENYA
HABARI

MWANAFUNZI AFARIKI KWA KUPIGWA RISASI NA POLISI KENYA

by Shabani Rapwi
Mar 21, 2023
WASIOJULIKANA WAFUKUA KABURI WATOA MWILI WA MAREHEMU NA KUONDOKA NA SEHEMU ZA SIRI
HABARI

WASIOJULIKANA WAFUKUA KABURI WATOA MWILI WA MAREHEMU NA KUONDOKA NA SEHEMU ZA SIRI

by Shabani Rapwi
Mar 21, 2023
BIKIRA JANE APATA MTOTO
HABARI

BIKIRA JANE APATA MTOTO

by Shabani Rapwi
Mar 21, 2023
ASKARI ANAYETUHUMIWA KUINGILIWA KINYUME NA MAUMBILE ASOMEWA MASHTAKA
HABARI

ASKARI ANAYETUHUMIWA KUINGILIWA KINYUME NA MAUMBILE ASOMEWA MASHTAKA

by ALFRED MTEWELE
Mar 21, 2023
SEVILLA YAMFUTA KAZI KOCHA JORGE SAMPOLI NA KUMTEUA KOCHA HUYO
HABARI

SEVILLA YAMFUTA KAZI KOCHA JORGE SAMPOLI NA KUMTEUA KOCHA HUYO

by Shabani Rapwi
Mar 21, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
February 2023
M T W T F S S
 12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
2728  
« Jan   Mar »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In