Baraza la Ulamaa katika kikao chake kilichofanyika tarehe 01 na 2 Februari jijini Dar es Salaam chini ya Mwenyekiti wake Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania Dr. Abubakar Zubeir bin Ally LIMETENGUA uteuzi wa Sheikh Alhad Mussa Salum kama Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam kuanzia tarehe 2 Februari 2023.
–
Wakati huo huo Mheshimiwa Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania Dr. Abubakar Zubeir bin Ally AMEMTEUA Sheikh Walid Alhad Omar kukaimu nafasi ya Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam kuanzia tarehe 2 February 2023.

ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT