ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Wednesday, March 22, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

SHOTI YA UMEME YAUA MAMA AKIMUOKOA MTOTO WAKE

Shabani Rapwi by Shabani Rapwi
Feb 6, 2023
in HABARI
0
SHOTI YA UMEME YAUA MAMA AKIMUOKOA MTOTO WAKE
0
SHARES
14
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

RelatedPosts

MECHI ZITASIMAMA EPL KUPISHA ‘IFTAR’

MECHI ZITASIMAMA EPL KUPISHA ‘IFTAR’

Mar 21, 2023

AFUNGIWA MIAKA 40 KUTOINGIA UWANJANI

Mar 21, 2023

MWANAFUNZI AFARIKI KWA KUPIGWA RISASI NA POLISI KENYA

Mar 21, 2023
Load More

ADVERTISEMENT
Mwanamke aitwaye Leah Nchimika(23)Mkazi wa Maganzo Wilaya ya Kishapu amefariki dunia baada ya kupigwa na shoti ya umeme akiwa anamuokoa mwanae Issa Saidi (02) asipigwe shoti ya umeme.
–
Akizungumza na Malunde 1 blog, Mwenyekiti wa Kitongoji cha Majimaji Kata ya Maganzo Tarafa ya Mondo Wilaya ya Kishapu Mkoani Shinyanga,Sefa Ndekelo, amesema majira ya saa tatu asubuhi siku ya Jumamosi Febuari 4 mwaka huu alipewa taarifa kuwa mwanamke huyo amepata ajali ya umeme.
–
Amesema mwanamke huyo alikuwa akifanya jitihada za kumuokoa mwanae aliyekuwa amegusa waya (cable ya Runinga) na kueleza kuwa mama huyo alimuokoa mtoto bila kujua njia sahihi ya kufanya hali iliyosababisha kifo chake.
–
“Nilipata taarifa katika katika kitongoji changu kuna mwanamke amepata ajali akiwa anamuokoa mwanae aliyekuwa anaenda kwenye hatari ya kushika waya wa cable ya Runinga,mama mzazi akafika pale ili aweze kumuokoa mwanae yeye hakuelewa taratibu gani azifuate ili kuwa salama yeye na mtoto, alifika na kukamata waya na mtoto lakini alipigwa shoti na kuanguka na kupoteza fahamu,Polisi walifika pale wakamchukua na kumpeleka zahanati ya Maganzo na walivyofika hospitali wakaambiwa Leah amepoteza maisha”, amesema Ndekelo.
–
Hata hivyo inaelezwa kuwa awali katika nyumba hiyo kulikuwa na tatizo la kukatika kwa umeme mara kwa mara.
–
Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Shiyanga, ACP Janeth Magomi amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kwamba uchunguzi unaendelea ili kubaini chanzo halisi cha tukio hilo.
ADVERTISEMENT

Related

ADVERTISEMENT
Shabani Rapwi

Shabani Rapwi

Related Posts

AFUNGIWA MIAKA 40 KUTOINGIA UWANJANI
HABARI

AFUNGIWA MIAKA 40 KUTOINGIA UWANJANI

by Shabani Rapwi
Mar 21, 2023
MWANAFUNZI AFARIKI KWA KUPIGWA RISASI NA POLISI KENYA
HABARI

MWANAFUNZI AFARIKI KWA KUPIGWA RISASI NA POLISI KENYA

by Shabani Rapwi
Mar 21, 2023
WASIOJULIKANA WAFUKUA KABURI WATOA MWILI WA MAREHEMU NA KUONDOKA NA SEHEMU ZA SIRI
HABARI

WASIOJULIKANA WAFUKUA KABURI WATOA MWILI WA MAREHEMU NA KUONDOKA NA SEHEMU ZA SIRI

by Shabani Rapwi
Mar 21, 2023
BIKIRA JANE APATA MTOTO
HABARI

BIKIRA JANE APATA MTOTO

by Shabani Rapwi
Mar 21, 2023
ASKARI ANAYETUHUMIWA KUINGILIWA KINYUME NA MAUMBILE ASOMEWA MASHTAKA
HABARI

ASKARI ANAYETUHUMIWA KUINGILIWA KINYUME NA MAUMBILE ASOMEWA MASHTAKA

by ALFRED MTEWELE
Mar 21, 2023
SEVILLA YAMFUTA KAZI KOCHA JORGE SAMPOLI NA KUMTEUA KOCHA HUYO
HABARI

SEVILLA YAMFUTA KAZI KOCHA JORGE SAMPOLI NA KUMTEUA KOCHA HUYO

by Shabani Rapwi
Mar 21, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
February 2023
M T W T F S S
 12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
2728  
« Jan   Mar »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In