Rais wa Falme za Kiarabu (UAE), Sheikh Mohamed bin Zayed Al Nahyan, ameagiza dola milioni 100 zitolewe kwa ajili ya kuwasaidia walioathiriwa na matetemeko ya ardhi yaliyotokea Syria na Uturuki.
Mpango wa Rais ni pamoja na kutoa dola milioni 50 kwa watu wa Syria walioathiriwa na tetemeko la ardhi, pamoja na dola milioni 50 kwa wale walioathiriwa nchini Uturuki.

ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT