ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Sunday, April 2, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

UGONJWA USIOJULIKANA WAUA WATU 20 EQUATORIAL GUINEA

Shabani Rapwi by Shabani Rapwi
Feb 11, 2023
in HABARI
0
UGONJWA USIOJULIKANA WAUA WATU 20 EQUATORIAL GUINEA
0
SHARES
19
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

 

 

Marufuku ya kutotoka nje ya siku mbili yamewekwa katika jimbo la kaskazini mwa Guinea ya Ikweta, linaloitwa Kié-Ntem, baada ya watu 20 kufariki kutokana na ugonjwa ambao bado haujajulikana. Vifo hivyo vilithibitishwa na mkuu wa Hospitali ya Wilaya ya Olamze, ambayo iko umbali mfupi kuvuka mpaka nchini Cameroon.

–

Kwa mujibu wa mamlaka ya afya ya Cameroon, waathiriwa walipata aina fulani ya homa na kutokwa na damu puani, kuwa dhaifu, kutapika na kuhara. Visa vya maambukizi na vifo vinatoka katika maeneo matatu kaskazini mwa Equatorial Guinea. Wanne kati ya wahasiriwa walitoka kwa familia moja.

–

Maambukizi hutokea kwa kuwasiliana moja kwa moja na mtu aliyeambukizwa, kulingana na mamlaka ya afya ya Cameroon. Ndio maana wanawanawaambia watu wa Cameroon wawe makini.

–

Mamlaka ya Equatorial imesema kuwa mgonjwa atawekwa karantini hadi hali ya ugonjwa huo na chanzo cha mlipuko huo kuthibitishwa.

 

RelatedPosts

EX MSUMBUFU KUFUNGWA JELA MIAKA MITANO

EX MSUMBUFU KUFUNGWA JELA MIAKA MITANO

Apr 2, 2023

CAMERA ILIYOPOTEA MIAKA 13 YAPATIKANA KWENYE MATOPE PICHA BADO ZIPO VIZURI

Apr 2, 2023

AFUKUA MAITI YA MAMA YAKE NA KUKAA NAYO NDANI

Apr 2, 2023
Load More

 

 

–

ADVERTISEMENT

 

 

Credit : BBC Swahili.

ADVERTISEMENT

Related

Shabani Rapwi

Shabani Rapwi

Related Posts

EX MSUMBUFU KUFUNGWA JELA MIAKA MITANO
HABARI

EX MSUMBUFU KUFUNGWA JELA MIAKA MITANO

by Shabani Rapwi
Apr 2, 2023
CAMERA ILIYOPOTEA MIAKA 13 YAPATIKANA KWENYE MATOPE PICHA BADO ZIPO VIZURI
HABARI

CAMERA ILIYOPOTEA MIAKA 13 YAPATIKANA KWENYE MATOPE PICHA BADO ZIPO VIZURI

by Shabani Rapwi
Apr 2, 2023
AFUKUA MAITI YA MAMA YAKE NA KUKAA NAYO NDANI
HABARI

AFUKUA MAITI YA MAMA YAKE NA KUKAA NAYO NDANI

by Shabani Rapwi
Apr 2, 2023
MUUGUZI AFARIKI AKIJIFANYIA HUDUMA MWENYEWE
HABARI

MUUGUZI AFARIKI AKIJIFANYIA HUDUMA MWENYEWE

by Shabani Rapwi
Apr 2, 2023
CHINA NA BRAZIL ZAIKATAA DOLA YA MAREKANI
HABARI

CHINA NA BRAZIL ZAIKATAA DOLA YA MAREKANI

by Shabani Rapwi
Apr 2, 2023
YANGA TUNAHITAJI KUIFUNGA MAZEMBE TUONGOZE KUNDI
HABARI

YANGA TUNAHITAJI KUIFUNGA MAZEMBE TUONGOZE KUNDI

by Shabani Rapwi
Apr 1, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
February 2023
M T W T F S S
 12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
2728  
« Jan   Mar »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In