Tanzania ina viwanja vingi ambavyo vinatumika katika mashindano mbalimbali, leo tutakujuza viwanja 10 vyenye uwezo wa kuchukua mashabiki wengi zaidi, ambavyo ni;
–
1. Benjamin Mkapa (Dar es Salaam) – 60,000
2. CCM Kirumba (Mwanza) – 35,000
3. Kambarage (Shinyanga) – 30,000
4. Maji Maji (Ruvuma) – 30,000
5. Uhuru (Dar es Salaam) – 23,000
6. Sheikh Amri Abeid (Arusha) – 20,000
7. Ali Hassan Mwinyi (Tabora) – 20,000
ADVERTISEMENT
8. Lake Tanganyika (Kigoma) – 20,000
9. Nangwanda Sijaona (Mtwara) – 15,000
10. Mkwakwani (Tanga) – 15,000
–
Takwimu hizi ni kwa mujibu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF).
ADVERTISEMENT