WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa azitakia kheri klabu vilabu viwili vya Soka hapa nchini yaani Simba SC inayoshiriki Michuano ya Klabu Bingwa Afrika ambayo, itaenda kuikabiri timu kutokea Guinea na kwa upande wa pili Yanga SC inayoshiriki michuano ya Kombe la Shirikisho.
Waziri Majaliwa katika sehemu ya Bunge la Tanzania amewatakia kheri ili kufanikisha kutwaa ubingwa.
“Tetemesha Watunisia……Nyunyiza hao Waguinea” Waziri Mkuu wa nchi, Kassim Majaliwa katika hotuba yake bungeni akiwatakia kila la kheri wawakilishi wa nchi kimataifa kwa ngazi ya Vilabu vya Mpira wa Miguu, Simba SC na Yanga SC.
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT