ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Sunday, April 2, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

AJIRA MIGODI MIKUBWA ZAFIKIA 15,341

Arusha

ALFRED MTEWELE by ALFRED MTEWELE
Mar 17, 2023
in HABARI
0
AJIRA MIGODI MIKUBWA ZAFIKIA 15,341
0
SHARES
17
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

RelatedPosts

USINUNUE GESI KWA WASIO NA MIZANI

USINUNUE GESI KWA WASIO NA MIZANI

Mar 9, 2023

Watoa Huduma Migodini Waipongeza Serikali

Nov 30, 2022
Load More

May be an image of 3 people, people standing, people sitting, indoor and text that says 'PR JAMHURI YA MUUNGANO WA WIZARAYA MADINI TUM MADINI Hር MINING COMMISSION W'Naibu Waziri wa Madini, Dk Steven Kiruswa amesema ajira kwa Watanzania katika migodi mikubwa zimeongezeka kutoka 6,668 mwaka 2018 hadi kufikia 15,341 mwaka 2022.

Dk Kiruswa ametoa kauli hiyo jana Machi 16, 2023 wakati akizindua rasmi mfumo wa ushirikishwaji wa Watanzania katika sekta ya madini, uzinduzi uliofanyika katika jukwaa la pili la utekelezaji wa ushirikishwaji wa Watanzania katika sekta ya madini linaloendelea jijini Arusha.

Amesema katika kipindi cha mwaka 2022, Watanzania 8,066 walipatiwa mafunzo mbalimbali katika sekta ya madini na kujengewa uwezo katika utendaji kazi ambapo zaidi ya Sh3.4 bilioni zilitumika.

“Katika mwaka 2022 Dola za Kimarekani 2.2bilioni sawa na asilimia 97.4 ya manunuzi yote ya kampuni za madini yalifanyika kwa kutumia Kampuni za Watanzania, ukilinganisha na Dola za Marekani 238.7 milioni sawa na asilimia 46 ya manunuzi yote kwa mwaka 2018,” amesema.

Kuhusu mfumo huo utaibua na kuchochea ongezeko la fursa mbalimbali katika nafasi za ajira na mafunzo, uhawilishwaji wa teknolojia, utafiti na maendeleo, matumizi ya huduma na bidhaa zinazotolewa na kuzalishwa na Watanzania.

“Suala hili limesababisha sekta ya madini kuwa na mchango mkubwa nchini katika kuboresha maisha ya Watanzania kwa kuwa fursa nyingi zinatolewa kwa watanzania na kuwapa nafasi ya kukuwa kiuchumi na kiteknolojia,” amesema.

“Miongoni mwa changamoto ni baadhi ya kampuni za kigeni kutokuwa tayari kufanya ubia na kampuni za Kitanzania na hivyo kutokidhi matakwa ya Sheria ya Madini. Hii imesababisha kukosa sifa na kushindwa kuidhinishiwa mikataba ya kutoa huduma na bidhaa migodini kwa sasa,” ameeleza.

 

ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT

Related

Tags: WIZARA YA NISHATI NA MADINI
ALFRED MTEWELE

ALFRED MTEWELE

Related Posts

EX MSUMBUFU KUFUNGWA JELA MIAKA MITANO
HABARI

EX MSUMBUFU KUFUNGWA JELA MIAKA MITANO

by Shabani Rapwi
Apr 2, 2023
CAMERA ILIYOPOTEA MIAKA 13 YAPATIKANA KWENYE MATOPE PICHA BADO ZIPO VIZURI
HABARI

CAMERA ILIYOPOTEA MIAKA 13 YAPATIKANA KWENYE MATOPE PICHA BADO ZIPO VIZURI

by Shabani Rapwi
Apr 2, 2023
AFUKUA MAITI YA MAMA YAKE NA KUKAA NAYO NDANI
HABARI

AFUKUA MAITI YA MAMA YAKE NA KUKAA NAYO NDANI

by Shabani Rapwi
Apr 2, 2023
MUUGUZI AFARIKI AKIJIFANYIA HUDUMA MWENYEWE
HABARI

MUUGUZI AFARIKI AKIJIFANYIA HUDUMA MWENYEWE

by Shabani Rapwi
Apr 2, 2023
CHINA NA BRAZIL ZAIKATAA DOLA YA MAREKANI
HABARI

CHINA NA BRAZIL ZAIKATAA DOLA YA MAREKANI

by Shabani Rapwi
Apr 2, 2023
YANGA TUNAHITAJI KUIFUNGA MAZEMBE TUONGOZE KUNDI
HABARI

YANGA TUNAHITAJI KUIFUNGA MAZEMBE TUONGOZE KUNDI

by Shabani Rapwi
Apr 1, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
March 2023
M T W T F S S
 12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
2728293031  
« Feb   Apr »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In