ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Wednesday, March 22, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

ANUSURIKA KIFO KISA KUTAKA PIGA SELFIE NA TEMBO

Manyara

ALFRED MTEWELE by ALFRED MTEWELE
Mar 14, 2023
in HABARI
0
ANUSURIKA KIFO KISA KUTAKA PIGA SELFIE NA TEMBO
0
SHARES
24
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

Mwanaume mmoja aitwae Issa Shabani (32) mkazi wa Kijiji cha Kiperesa Wilayani Kiteto Mkoani Manyara, amenusurika kifo baada ya kushambuliwa na tembo walioonekana Kijijini hapo wakati alipojaribu kupiga picha ya selfie na tembo hao.

Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Manyara, RPC George Katabazi amesema tukio hilo limetokea Machi 12/2023 ambapo tembo watatu walionekana wakiwa kwenye mashamba yaliyopo karibu na makazi ya watu wa Kijiji cha Kiperesa.

RelatedPosts

WAZIRI MCHENGERWA AZINDUA BOTI YA KITALII YA TAWA SEA CRUSIER

WAZIRI MCHENGERWA AZINDUA BOTI YA KITALII YA TAWA SEA CRUSIER

Mar 16, 2023

ROYAL TOUR NA KUKUZA UTALII NCHINI

Oct 7, 2022
Load More

Kaka wa majeruhi amesema hali ya mdogo wake imeanza kuimarika baada ya kufikishwa hospitali ya Kiteto na kupatiwa matibabu pamoja na kwamba wametakiwa kumpeleka hospitali ya Benjamin Mkapa Dodoma kwa matibau zaidi.

“Ndugu yangu alikanyagwa na tembo, alichomwa ubavuni utumbo ukatoka nje ila sasa hivi baada ya kupata matibabu hali yake sio mbaya tunatafuta fedha tutaenda hospitali ya Benjamini mkapa kwa matibabu zaidi” 

ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT

Related

Tags: WIZARA YA UTALII
ADVERTISEMENT
ALFRED MTEWELE

ALFRED MTEWELE

Related Posts

AFUNGIWA MIAKA 40 KUTOINGIA UWANJANI
HABARI

AFUNGIWA MIAKA 40 KUTOINGIA UWANJANI

by Shabani Rapwi
Mar 21, 2023
MWANAFUNZI AFARIKI KWA KUPIGWA RISASI NA POLISI KENYA
HABARI

MWANAFUNZI AFARIKI KWA KUPIGWA RISASI NA POLISI KENYA

by Shabani Rapwi
Mar 21, 2023
WASIOJULIKANA WAFUKUA KABURI WATOA MWILI WA MAREHEMU NA KUONDOKA NA SEHEMU ZA SIRI
HABARI

WASIOJULIKANA WAFUKUA KABURI WATOA MWILI WA MAREHEMU NA KUONDOKA NA SEHEMU ZA SIRI

by Shabani Rapwi
Mar 21, 2023
BIKIRA JANE APATA MTOTO
HABARI

BIKIRA JANE APATA MTOTO

by Shabani Rapwi
Mar 21, 2023
ASKARI ANAYETUHUMIWA KUINGILIWA KINYUME NA MAUMBILE ASOMEWA MASHTAKA
HABARI

ASKARI ANAYETUHUMIWA KUINGILIWA KINYUME NA MAUMBILE ASOMEWA MASHTAKA

by ALFRED MTEWELE
Mar 21, 2023
SEVILLA YAMFUTA KAZI KOCHA JORGE SAMPOLI NA KUMTEUA KOCHA HUYO
HABARI

SEVILLA YAMFUTA KAZI KOCHA JORGE SAMPOLI NA KUMTEUA KOCHA HUYO

by Shabani Rapwi
Mar 21, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
March 2023
M T W T F S S
 12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
2728293031  
« Feb    
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In