ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Monday, June 5, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

ASHTAKIWA MAHAKAMANI KUWAINGILIA MBUZI KIMWILI

Kilimanjaro

ALFRED MTEWELE by ALFRED MTEWELE
Mar 23, 2023
in HABARI
0
ASHTAKIWA MAHAKAMANI KUWAINGILIA MBUZI KIMWILI
0
SHARES
69
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

RelatedPosts

WANAWAKE WAONYWA UNYANYASAJI DHIDI YA WANAUME

WANAWAKE WAONYWA UNYANYASAJI DHIDI YA WANAUME

Jun 1, 2023

New Job Vacancies at the Institute of Rural Development Planning (IRDP) , May 2023

May 29, 2023

3 Job Vacancies at Barrick – North Mara Gold Mine LTD

May 29, 2023
Load More

NSW goat processors and producers double production as appetites grow - ABC NewsMkulima na mkazi wa Kijiji cha Naibili wilayani Siha Mkoani Kilimanjaro, Emmanuel Kilenga ( 22) amefikishwa katika mahakama ya Wilaya ya Siha Machi 17/ 2023 akikabiliwa na shtaka la kuandama wanyama kesi iliyosajiriwa kwa namba CC 35/2023.

Akisoma mashtaka mahakamani hapo Mwendesha Mashtaka wa Serikali, Kulwa Mungo mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi Elibahati Ndewario Petro, inadaiwa kuwa mtuhumiwa aliingia katika zizi la mifugo na kumuingilia kimwili mbuzi, tukio lilitokea Machi 14 mwaka huu majira ya usiku.

Kwa upande wake mshtakiwa hakuwa na cha kusema mahakamani hapo ambapo shauri liliahirishwa hadi Mach 30 mwaka huu ambapo shauri litakuja kwa hatua ya usikilizwaji wa awali. Hata hivyo alishindwa kutimiza masharti ya dhamana na kurudishwa mahabusu.

Taarifa zaidi kutoka kwa majirani zinadai kuwa mtuhumiwa amekuwa na tabia ya kuingilia wanyama wa majirani hali iliyopelekea baba yake mzazi kufidia wanyama mara kwa mara kwani wanyama hao.

ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT

Related

Tags: WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII
ADVERTISEMENT
ALFRED MTEWELE

ALFRED MTEWELE

Related Posts

WAZIRI MCHENGERWA ATOA OFA HII BABU KUBWA KUIPONGEZA YANGA
HABARI

WAZIRI MCHENGERWA ATOA OFA HII BABU KUBWA KUIPONGEZA YANGA

by ALFRED MTEWELE
Jun 5, 2023
MAKAMU WA RAIS AONGOZA ZOEZI LA USAFI SOKO LA MACHINGA DODOMA, NEMC YAACHIWA MAAGIZO HAYA
HABARI

MAKAMU WA RAIS AONGOZA ZOEZI LA USAFI SOKO LA MACHINGA DODOMA, NEMC YAACHIWA MAAGIZO HAYA

by ALFRED MTEWELE
Jun 5, 2023
KUNANI MAGAZETINI LEO JUMANNE TAREHE 22 JUNI
HABARI

KURASA ZA MAGAZETINI LEO JUMATATU TAREHE 05 JUNI 2023

by I am Krantz
Jun 5, 2023
UJUE MPANGO MPYA WA VITUO VYA KUCHAJI MAGARI YA UMEME NCHINI
HABARI

UJUE MPANGO MPYA WA VITUO VYA KUCHAJI MAGARI YA UMEME NCHINI

by ALFRED MTEWELE
Jun 4, 2023
Rais Samia Apunguza Tozo Ya Mafuta
HABARI

Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan awaalika Yanga kwa chakula cha jioni kesho Jumatatu

by I am Krantz
Jun 4, 2023
166 New Job Vacancies at TANAPA
HABARI

166 New Job Vacancies at TANAPA

by ALFRED MTEWELE
Jun 4, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
March 2023
M T W T F S S
 12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
2728293031  
« Feb   Apr »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In