ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Friday, June 9, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

ASKARI ANAYETUHUMIWA KUINGILIWA KINYUME NA MAUMBILE ASOMEWA MASHTAKA

Zanzibar

ALFRED MTEWELE by ALFRED MTEWELE
Mar 21, 2023
in HABARI
0
ASKARI ANAYETUHUMIWA KUINGILIWA KINYUME NA MAUMBILE ASOMEWA MASHTAKA
0
SHARES
94
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

RelatedPosts

EPUKA TABIA HIZI HATARISHI UNAPOENDESHA GARI YAKO

EPUKA TABIA HIZI HATARISHI UNAPOENDESHA GARI YAKO

Jun 6, 2023

ALIYEMPIGA MKE WAKE, HADI KUMG’OA JINO NA KUMTOBOA JICHO AKAMATWA

May 28, 2023

MARUFUKU FATAKI, BARUTI MECHI YA YANGA DHIDI YA MARUMO GALLANTS

May 10, 2023
Load More
MSAADA WA KISHERIA:Sheria ni nini? | MSAADA WA SHERIAALIYEKUWA Askari Polisi FFU, Ramadhani Hassan Ali maarufu Afande Rama, amefikishwa katika Mahakama ya Mkoa wa Vuga, kujibu mashtaka mawili yanayomkabili.
Mbele ya Hakimu Khamis Ali Simai, Mwendesha Mashtaka Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka Zanzibar, Muhammed Saleh, alidai mahakamani kuwa mshtakiwa anakabiliwa na mashtaka mawili ambayo ni kuruhusu kuingiliwa kinyume na maumbile na kufanya maudhui makubwa ya kingono.
Alidai kuwa mshtakiwa alitenda makosa hayo mapema Machi mwaka huu, kitendo ambacho ni kosa kwa mujibu wa Sheria za Zanzibar.
Mshtakiwa huyo alifikishwa mahakamani hapo kwa mara ya kwanza akitokea mahabusu ya polisi bila ya wakili wa kumsimamia.
Shtaka hilo limeahirishwa hadi Aprili 4, mwaka huu na mshtakiwa amepelekwa mahabusu huku upande wa mashtaka ukidai unaendelea na upelelezi.
Ilidaiwa kuwa askari huyo alijihusisha na mapenzi ya jinsia moja kwa kuruhusu kuingiliwa kinyume na maumbile huku video fupi inayoonesha tukio hilo ikisambaa mtandaoni.
Hivi karibuni, Kamishna wa Jeshi la Polisi Zanzibar, Hamad Khamis Hamad, alisema askari huyo alishapandishwa kwenye mahakama ya kijeshi kutokana na tuhuma hizo ambazo ni kinyume na mwongozo na kanuni za kiutendaji wa jeshi hilo (PGO).
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT

Related

Tags: wizara ya mambo ya ndani
ADVERTISEMENT
ALFRED MTEWELE

ALFRED MTEWELE

Related Posts

YALIYOJIRI KWENYE MAGAZETI YA LEO JUNI 9, 2023
HABARI

YALIYOJIRI KWENYE MAGAZETI YA LEO JUNI 9, 2023

by ALFRED MTEWELE
Jun 9, 2023
TRA YAUJUZA UMMA KUWA USAJILI WA TIN INAYOSISITIZWA NI KAMA NIDA, SIO ILE YA BIASHARA
HABARI

TRA YAUJUZA UMMA KUWA USAJILI WA TIN INAYOSISITIZWA NI KAMA NIDA, SIO ILE YA BIASHARA

by ALFRED MTEWELE
Jun 8, 2023
DR. MPANGO ATILIA MKAZO JITIHADA ZA KULINDA HIFADHI YA BAHARI NA RASILIMALI ZAKE
HABARI

DR. MPANGO ATILIA MKAZO JITIHADA ZA KULINDA HIFADHI YA BAHARI NA RASILIMALI ZAKE

by ALFRED MTEWELE
Jun 8, 2023
EWURA YATOA BEI HII KIKOMO YA MAFUTA NCHINI
HABARI

EWURA YATOA BEI HII KIKOMO YA MAFUTA NCHINI

by ALFRED MTEWELE
Jun 8, 2023
RAIS SAMIA AMEFANYA UTEUZI HUU LEO
HABARI

RAIS SAMIA AMEFANYA UTEUZI HUU MPYA LEO

by ALFRED MTEWELE
Jun 8, 2023
MESSI AFUNGUKA SABABU ZA KUIPOTEZEA BARCA
HABARI

MESSI AFUNGUKA SABABU ZA KUIPOTEZEA BARCA

by ALFRED MTEWELE
Jun 8, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
March 2023
M T W T F S S
 12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
2728293031  
« Feb   Apr »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In