ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Sunday, April 2, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

AWESO ATOA WIKI 14 MRADI WA MAJI MWANGA-SAME- KOROGWE UKAMILISHWE

Kilimanjaro

ALFRED MTEWELE by ALFRED MTEWELE
Mar 14, 2023
in HABARI
0
AWESO ATOA WIKI 14 MRADI WA MAJI MWANGA-SAME- KOROGWE UKAMILISHWE
0
SHARES
22
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

RelatedPosts

DKT. MPANGO AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA MAJI ZIWA VICTORIA

DKT. MPANGO AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA MAJI ZIWA VICTORIA

Jan 19, 2023

Maji ya Mgao Kusitishwa Dar na Pwani

Nov 25, 2022
Load More

May be an image of 4 people and outdoorsWaziri wa maji Jumaa Aweso akiwa ziarani Same amesema kuwa mradi wa Mwanga, Same hadi Korogwe utakamilika kwa kipindi cha miezi kumi na nne na sio kumi na nane kama Mkandarasi alivyo omba kwani Wananchi wana uhitaji mkubwa wa huduma ya maji safi na salama.

Hivyo waziri huyo amewataka wakandarasi wa mradi wa maji wa Same-Mwanga-Korogwe kukamilisha kazi zilizosalia katika mradi huo ndani ya miezi 14.
Ametamka hayo wilayani Same wakati wa kusaini makubaliano ya kuhuisha mkataba kati ya Wizara ya Maji na mkandarasi kampuni ya M.A. Kharif & Sons kuhusu kukamilisha ujenzi wa mradi huo.
“Baada ya dhiki ni faraja, na Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan ametupatia fedha za kutosha kumaliza kazi hii” Mhe. Aweso amesema na kusisitiza mkandarasi asiweke sababu zozote za kukwama mradi
Amesema wananchi wamesubiri sana maji, sasa ndani ya miezi 14 lazima wapate majisafi, salama na toshelevu.
Amesema viongozi wa Wizara watafanya kazi usiku na mchana, na kumwelekeza mkandarasi kuweka ratiba ya mpango kazi hadi kukamilisha mradi.
Akiongea kuhusu kazi zilizobaki, Katibu Mkuu, Wizara ya Maji Mhandisi Nadhifa Kemikimba amesema ni pamoja na kazi ya ulazaji mabomba ambayo yameshafika na kazi inaendelea.
Amesema pia, kuweka mfumo wa umeme ili kusukuma maji kwenda katika matanki, ambapo mradi una idadi ya matanki saba ya kuhudumia wananchi.
Hafla hiyo imehudhuria na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe.Nurdin Babu ambaye amewataka wananchi kushiriki katika miradi ya maji kwa kulinda vyanzo vya maji.
May be an image of 6 people and road
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT

Related

Tags: WIZARA YA MAJI
ALFRED MTEWELE

ALFRED MTEWELE

Related Posts

EX MSUMBUFU KUFUNGWA JELA MIAKA MITANO
HABARI

EX MSUMBUFU KUFUNGWA JELA MIAKA MITANO

by Shabani Rapwi
Apr 2, 2023
CAMERA ILIYOPOTEA MIAKA 13 YAPATIKANA KWENYE MATOPE PICHA BADO ZIPO VIZURI
HABARI

CAMERA ILIYOPOTEA MIAKA 13 YAPATIKANA KWENYE MATOPE PICHA BADO ZIPO VIZURI

by Shabani Rapwi
Apr 2, 2023
AFUKUA MAITI YA MAMA YAKE NA KUKAA NAYO NDANI
HABARI

AFUKUA MAITI YA MAMA YAKE NA KUKAA NAYO NDANI

by Shabani Rapwi
Apr 2, 2023
MUUGUZI AFARIKI AKIJIFANYIA HUDUMA MWENYEWE
HABARI

MUUGUZI AFARIKI AKIJIFANYIA HUDUMA MWENYEWE

by Shabani Rapwi
Apr 2, 2023
CHINA NA BRAZIL ZAIKATAA DOLA YA MAREKANI
HABARI

CHINA NA BRAZIL ZAIKATAA DOLA YA MAREKANI

by Shabani Rapwi
Apr 2, 2023
YANGA TUNAHITAJI KUIFUNGA MAZEMBE TUONGOZE KUNDI
HABARI

YANGA TUNAHITAJI KUIFUNGA MAZEMBE TUONGOZE KUNDI

by Shabani Rapwi
Apr 1, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
March 2023
M T W T F S S
 12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
2728293031  
« Feb   Apr »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In