Mkurugenzi Mtendaji wa TikTok, Shou Zi Chew amedai kuwa watoto wake haja waruhusu kutumia ‘App’ hiyo kwa kuwa ni wadogo.
–
ADVERTISEMENT
Alipoulizwa kuhusu watoto wake, Chew amesema ana watoto wawili mmoja ana umri wa miaka sita na mwingine miaka nane. Shou Zi Chew amewashauri wazazi kufuatilia kipengele kinachoitwa ‘Familia Pairing.
–
ADVERTISEMENT
Uchunguzi wa kitaifa dhidi ya programu hii ulitangazwa mwaka 2022 kutokana na hatari inayowakabili Watoto na Vijana. Kwako mdau watoto wako wanatumia Mitandao ya kijamii na je unawafatilia?