Kocha Mkuu wa timu ya taifa,”Taifa Stars”, Adel Amrouche ametaja kikosi chake cha kwanza cha timu ya taifa kitakachoshuka dimbani kucheza michezo miwili ya kufuzu AFCON 2023, huku mchezaji, Feisal Salum ‘Feitoto’ akijumuishwa kwenye kikosi hicho.
ADVERTISEMENT
–
Miongoni mwa wachezaji waandamizi walioachwa kwenye kikosi ni pamoja na Mohammed Hussein ‘Tshabalala’, John Bocco. Tazama kikosi kizima kwa kuswipe post inayofuata.
ADVERTISEMENT