ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Sunday, April 2, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

HARMONIZE KUBADILI DINI KUWA MKRISTO?

Shabani Rapwi by Shabani Rapwi
Mar 18, 2023
in HABARI
0
HARMONIZE KUBADILI DINI KUWA MKRISTO?
0
SHARES
67
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

 

RelatedPosts

EX MSUMBUFU KUFUNGWA JELA MIAKA MITANO

EX MSUMBUFU KUFUNGWA JELA MIAKA MITANO

Apr 2, 2023

CAMERA ILIYOPOTEA MIAKA 13 YAPATIKANA KWENYE MATOPE PICHA BADO ZIPO VIZURI

Apr 2, 2023

AFUKUA MAITI YA MAMA YAKE NA KUKAA NAYO NDANI

Apr 2, 2023
Load More

Msanii wa muda mrefu wa injili, Christina Shusho  kwa mara ya kwanza amefunguka walichozungumza na Harmonize mwaka jana walipokutana ghafla nchini Kenya, na Harmonize akamkimbilia na kumbusu miguuni.

 

 

 

–

 

 

 

Katika mahojiano maalum na kituo kimoja cha habari, Shusho alisema kwamab baada ya kitendo kile kilichonaswa na mapaparazzo, walikwenda chemba faraghani na kuwa na mazungumzo kwa upana.

 

 

 

–

 

 

 

 

Shusho alisema kwamba moja ya kitu alifurahi kusikia kutoka kwa msanii huyo ni kumtamkia kuwa alipenda kuisikiliza miziki yake ya injili.

 

 

 

 

–

 

 

 

 

“Nilipata nafasi ya kukaa naye kuzungumza, aliongea kitu ambacho kiligusa moyo wangu sana, akasema dada mimi napenda sana nyimbo zako, unapoimba nyimbo zako, unatuelimisha kuhusu Mungu, unatuelekeza kumjua mungu na hutulazimishi, unatuachia sisi chaguo la kuamua tumfuate Mungu au tuendelee na mambo yetu…” Shusho alinukuu maneno ya Harmonize.

 

 

 

–

 

 

 

Alisema kwamba msanii huyo pia alimalizia kwa kumtamkia kwa sauti ya hakika kwamab kutokana na himizo analolipata kutoka kwa nyimbo zake, siku moja atamuona kanisani.

 

 

 

 

–

 

 

 

“Hicho kinanifanya mimi nasiiliza sana nyimbo zako, navutiwa sana kutaka kujua hicho unachokiimba. Na nina uhakika siku moja, utaniona kanisani,” Shusho alinukuu maneno ya Harmonize.

 

 

 

 

–

 

 

 

ADVERTISEMENT

 

Inafahamika vizuri tu kwamba Harmonize ni Muislam na Shusho ni Mkristo ambaye mwaka jana alianzisha kanisa lake na tamko la kwamba Harmonize siku moja atatimba kanisani na Shusho ni ishara kwamba anawaza kubadili dini kutoka Uislam hadi Ukristo.

 

 

ADVERTISEMENT

 

–

 

 

 

 

 

Shusho alisema kwamba tamko hilo la Harmonize lilimpa himizo kubwa akajua kwamba kumbe kuna watu mbali mbali anaowagusa na kuwaweka karibu na Mungu kupitia uimbaji wake

Related

Shabani Rapwi

Shabani Rapwi

Related Posts

EX MSUMBUFU KUFUNGWA JELA MIAKA MITANO
HABARI

EX MSUMBUFU KUFUNGWA JELA MIAKA MITANO

by Shabani Rapwi
Apr 2, 2023
CAMERA ILIYOPOTEA MIAKA 13 YAPATIKANA KWENYE MATOPE PICHA BADO ZIPO VIZURI
HABARI

CAMERA ILIYOPOTEA MIAKA 13 YAPATIKANA KWENYE MATOPE PICHA BADO ZIPO VIZURI

by Shabani Rapwi
Apr 2, 2023
AFUKUA MAITI YA MAMA YAKE NA KUKAA NAYO NDANI
HABARI

AFUKUA MAITI YA MAMA YAKE NA KUKAA NAYO NDANI

by Shabani Rapwi
Apr 2, 2023
MUUGUZI AFARIKI AKIJIFANYIA HUDUMA MWENYEWE
HABARI

MUUGUZI AFARIKI AKIJIFANYIA HUDUMA MWENYEWE

by Shabani Rapwi
Apr 2, 2023
CHINA NA BRAZIL ZAIKATAA DOLA YA MAREKANI
HABARI

CHINA NA BRAZIL ZAIKATAA DOLA YA MAREKANI

by Shabani Rapwi
Apr 2, 2023
YANGA TUNAHITAJI KUIFUNGA MAZEMBE TUONGOZE KUNDI
HABARI

YANGA TUNAHITAJI KUIFUNGA MAZEMBE TUONGOZE KUNDI

by Shabani Rapwi
Apr 1, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
March 2023
M T W T F S S
 12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
2728293031  
« Feb   Apr »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In