Mrembo na mwanamitindo anayejulikana kwa jina la Sishkikii kupitia ukurasa wake wa instagram amempost CEO wa Konde gang harmonize na kuandika ujumbe wa mapenzi unaosema
–
“Furahia darling Ningeandika haya lakini tayari unajua moyo unazungumza nini kwa ajili yako. ❣️ @harmonize_tz nadhani hauko SINGLE tena najivunia hilo.”
–
ADVERTISEMENT
Baada ya ujumbe huo Harmonize amecomment chini ya post hiyo na kuweka maelezo ambayo yamewafanya watu wengi kuwa na maswali ya kujiuliza.
ADVERTISEMENT