Mamelodi Sundowns wameanzisha uchunguzi kuhusu maoni yaliyotolewa na Afisa Uhusiano wa Timu ya Usafiri na Uhusiano Bwana, Khaled Ali.
–
Kutokana na Kipande Kilicho sambaa mitandaoni kikiushishwa na yeye kinasikika kuwa ataisaidia Al Ahly kutoa ripoti za kiufundi kuifunga Al Hilal huko Cairo Katika Mchezo wa Klabu Bingwa Afrika.
–
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT
Khaled Ali ambaye ni raia wa Misri Ameitwa na uongozi wa klabu kurejea kutoka Sudan haraka iwezekanavyo kusaidia uchunguzi kuhusu tuhuma hizo.