ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Sunday, April 2, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

KIWANDA KINGINE CHA BARAKOA CHAZINDULIWA

Shabani Rapwi by Shabani Rapwi
Mar 10, 2023
in HABARI
0
KIWANDA KINGINE CHA BARAKOA CHAZINDULIWA
0
SHARES
24
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

 

RelatedPosts

EX MSUMBUFU KUFUNGWA JELA MIAKA MITANO

EX MSUMBUFU KUFUNGWA JELA MIAKA MITANO

Apr 2, 2023

CAMERA ILIYOPOTEA MIAKA 13 YAPATIKANA KWENYE MATOPE PICHA BADO ZIPO VIZURI

Apr 2, 2023

AFUKUA MAITI YA MAMA YAKE NA KUKAA NAYO NDANI

Apr 2, 2023
Load More

Serikali kupitia Wizara ya Afya kwa imezindua kiwanda kingine cha utengenezaji wa Barakoa aina ya N95 zintazosaidia katika kujikinga dhidi ya magonjwa ya hewa katika maeneo ya kutolea huduma.

 

 

 

–

 

 

Uzinduzi huo umefanywa Machi 9, 2023 na Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel kwa niaba ya Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu katika Bohari ya Dawa Jijini Dar es Salaam.

 

ADVERTISEMENT

 

 

–

 

 

 

“Nimekuja hapa na Balozi wa Japan kuzindua kiwanda cha Barakoa aina ya N95, ukiacha vile vingine vinavyozalisha Barakoa za kawaida, kwa kuzalisha Barakoa hizi kutasaidia katika maeneo ya utoaji huduma na kukuza uchumi wetu kwa kuziuza kwa nchi ambazo hazina uzalishaji huu.” Amesema.

 

 

–

ADVERTISEMENT

 

 

 

Amesema matokeo haya, yanatokana na juhudi za Rais wetu Dkt. Samia za kukuza uhusiano na mashirikiano na nchi mbalimbali unaopelekea kuvutia uwekezaji katika eneo la viwanda hali itayosaidia kupunguza changamoto ya ajira na kukuza uchumi wa mtu mmoja mmoja na taifa.

 

 

–

 

 

 

Aidha, Dkt. Mollel amesema, Serikal ya Rais Samia imeendelea kuweka mikakati mizuri ya ushirikiano baina ya sekta binafsi na sekta ya Serikali ili kusaidia ukuaji wa uchumi na kuleta matokeo chanya baina ya pande hizo.

 

 

 

–

 

 

 

Kwa upande wake Balozi wa Japan nchini Tanzania Mhe. Shinichi Goto ameipongeza Serikali ya Tanzania kwa kuendelea kuboresha huduma kwa wananchi hasa katika upatikanaji wa vifaa tiba vitavyosaidia katika matibabu ya wananchi. Sambamba na hilo Mhe. Yashushi Misawa amesema Serikali ya Japan itaendelea kushirikiana na Serikali ya Tanzania katika kuboresha Sekta ya afya, hasa katika upatikanaji wa vifaa tiba.

Related

Shabani Rapwi

Shabani Rapwi

Related Posts

EX MSUMBUFU KUFUNGWA JELA MIAKA MITANO
HABARI

EX MSUMBUFU KUFUNGWA JELA MIAKA MITANO

by Shabani Rapwi
Apr 2, 2023
CAMERA ILIYOPOTEA MIAKA 13 YAPATIKANA KWENYE MATOPE PICHA BADO ZIPO VIZURI
HABARI

CAMERA ILIYOPOTEA MIAKA 13 YAPATIKANA KWENYE MATOPE PICHA BADO ZIPO VIZURI

by Shabani Rapwi
Apr 2, 2023
AFUKUA MAITI YA MAMA YAKE NA KUKAA NAYO NDANI
HABARI

AFUKUA MAITI YA MAMA YAKE NA KUKAA NAYO NDANI

by Shabani Rapwi
Apr 2, 2023
MUUGUZI AFARIKI AKIJIFANYIA HUDUMA MWENYEWE
HABARI

MUUGUZI AFARIKI AKIJIFANYIA HUDUMA MWENYEWE

by Shabani Rapwi
Apr 2, 2023
CHINA NA BRAZIL ZAIKATAA DOLA YA MAREKANI
HABARI

CHINA NA BRAZIL ZAIKATAA DOLA YA MAREKANI

by Shabani Rapwi
Apr 2, 2023
YANGA TUNAHITAJI KUIFUNGA MAZEMBE TUONGOZE KUNDI
HABARI

YANGA TUNAHITAJI KUIFUNGA MAZEMBE TUONGOZE KUNDI

by Shabani Rapwi
Apr 1, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
March 2023
M T W T F S S
 12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
2728293031  
« Feb   Apr »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In