Alhamisi ambayo ni siku ya tatu ya maandamano nchini Kenya ambapo Wanahabari 6 wameripotiwa wamejeruhiwa kufuatia shambulio kali kutoka kwa raia nchini humo.
Kumekuwa na wasiwasi kuwa huenda mashambulizi hayo yakawa ni ya makusudi yanayofanywa na serikali pamoja na waandamanaji dhidi ya wanahabari.
ADVERTISEMENT
Takribani wanahabari 25 wameshambuliwa toka kuanza kwa maandamano hayo.
ADVERTISEMENT