Waamuzi wa Ligi Kuu England (EPL) wameruhusiwa kusimamisha michezo ya ligi hiyo utakapokuwa unafika muda wa kufungulia swaumu, ili kutoa nafasi kwa wachezaji waumini wa dini ya Kiislamu kufungua funga yao kipindi cha Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
ADVERTISEMENT