ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Wednesday, March 22, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

MMFL YAFAFANUA KUHUSU TUHUMA ZA MBOLEA

Zanzibar

ALFRED MTEWELE by ALFRED MTEWELE
Mar 16, 2023
in HABARI
0
MMFL YAFAFANUA KUHUSU TUHUMA ZA MBOLEA
0
SHARES
10
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

RelatedPosts

VIJANA WALIME WACHANE NA KU-BET

VIJANA WALIME WACHANE NA KU-BET

Jan 11, 2023

Waziri Ndaki Awataka Wakulima na Wafugaji Watumie Mbinu Mbadala

Dec 8, 2022

SERIKALI YAJIPANGA KUWEZESHA WAKULIMA WA MKONGE KUZALISHA KWA TIJA

Dec 8, 2022
Load More

Minjingu Mines | HomeUongozi wa Kampuni ya uzalishaji, usambazaji na uuzaji wa mbolea ya Minjingu Mines and Fertiliser Limited (MMFL) umefafanua kuhusu tuhuma zilizoelekezwa kwa Kampuni hiyo kuhusu upatikanaji wa mifuko 776 ya mchanga kwenye ghala lake lililopo mjini Njombe na kusema Kampuni hiyo haijawahi kufanya hujuma yoyote kwa Wakulima au Wadau wa kilimo katika miaka yake 22 ya kazi.

ADVERTISEMENT
“Tunautaarifu umma kwamba hatujawahi kuhujumu Wakulima au Wadau wa kilimo kwa kuzalisha na au kufungasha mchanga/udongo katika mifuko yake kama mbadala wa mbolea na kwa kipindi chote Kampuni yeti imeendelea kuwa na ushirikiano wa karibu na Serikali katika kuhakikisha Wakulima wanapata mbolea ya ruzuku kwa wakati na kwa bei nafuu”
“Afisa Mauzo wa MMFL kituo cha Njombe Gervas John Mtitu alipatikana na upotevu wa mbolea jambo ambalo alilikiri na baada ya upotevu huo aliendelea kutoonyesha ushirikiano licha ya jitihada mbalimbali za kumtafuta ambapo baada ya kutoendelea kupata ushirikiano tarehe 28/1/2023 Kampuni ilitoa taarifa Kituo cha Polisi Njombe mjini kuhusiana na upotevu wa mbolea na kutoonekana kazini ambapo tulipatiwa RB No. NJ/RB/390/2023”
“Tarehe 20/2/2023 Polisi walifika kwenye ghala na kumweleza Afisa Masoko wa MMFL kwamba walifika kufanya ukaguzi baada ya kupata taarifa kwamba kulikuwa na baadhi ya mifuko ambayo haikuwa na mbolea bali bidhaa nyingine na kwamba katika ukaguzi huo walibaini kwamba kwenye ile mifuko ya zamani (ambayo iliachwa na Gervas John Mtitu) kulikuwa na mifuko yenye mchanga”
“TFRA waliiandikia MMFL barua tarehe 24/2/2023 ambapo maudhui ya barua ilikuwa ni kukutwa na bidhaa ambayo siyo mbolea na Kampuni ilipigwa faini ya shilingi milioni 30 na ikailipa faini hiyo tarehe 25/2/2023, hata hivyo MMFL imesikitishwa na suala hilo (ambalo Mamlaka inayohusika Kisheria ilishalitolea maamuzi) kuletwa tena tarehe 5 Machi 2023 kwenye jamii na kuleta sintofahamu kwa jamii” imeeleza taarifa ya Kampuni hiyo.
ADVERTISEMENT

Related

Tags: WIZARA YA KILIMO
ADVERTISEMENT
ALFRED MTEWELE

ALFRED MTEWELE

Related Posts

AFUNGIWA MIAKA 40 KUTOINGIA UWANJANI
HABARI

AFUNGIWA MIAKA 40 KUTOINGIA UWANJANI

by Shabani Rapwi
Mar 21, 2023
MWANAFUNZI AFARIKI KWA KUPIGWA RISASI NA POLISI KENYA
HABARI

MWANAFUNZI AFARIKI KWA KUPIGWA RISASI NA POLISI KENYA

by Shabani Rapwi
Mar 21, 2023
WASIOJULIKANA WAFUKUA KABURI WATOA MWILI WA MAREHEMU NA KUONDOKA NA SEHEMU ZA SIRI
HABARI

WASIOJULIKANA WAFUKUA KABURI WATOA MWILI WA MAREHEMU NA KUONDOKA NA SEHEMU ZA SIRI

by Shabani Rapwi
Mar 21, 2023
BIKIRA JANE APATA MTOTO
HABARI

BIKIRA JANE APATA MTOTO

by Shabani Rapwi
Mar 21, 2023
ASKARI ANAYETUHUMIWA KUINGILIWA KINYUME NA MAUMBILE ASOMEWA MASHTAKA
HABARI

ASKARI ANAYETUHUMIWA KUINGILIWA KINYUME NA MAUMBILE ASOMEWA MASHTAKA

by ALFRED MTEWELE
Mar 21, 2023
SEVILLA YAMFUTA KAZI KOCHA JORGE SAMPOLI NA KUMTEUA KOCHA HUYO
HABARI

SEVILLA YAMFUTA KAZI KOCHA JORGE SAMPOLI NA KUMTEUA KOCHA HUYO

by Shabani Rapwi
Mar 21, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
March 2023
M T W T F S S
 12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
2728293031  
« Feb    
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In