
“Huduma hii ni muendelezo wa kuwarahisishia wateja kuendelea kuishi maisha ya kidigitali kwa kufanya manunuzi mtandaoni” Angelica Pesha-Afisa Mkuu wa Tigo Pesa
“Selcom kwa kushirikiana na Tigo tunawapa wateja wa Tigo uhakika wa malipo popote pale walipo kupitia huduma mpya ya Tigo Pesa Mastercard ili kulipia mambo yote mtandaoni” Sameer Hirji-Mkurugenzi Mtendaji Selcom
“Tunajivunia kushirikiana na Tigo ili kuwapa nafasi wateja wa Tigo kufanya malipo mbalimbali mtandaoni kirahisi na haraka” Oyuga Lenin-Mwakilishi kutoka Mastercard
Tengeneza kadi yako sasa kirahisi kupitiw menu ya Tigo pesa au Tigo Pesa App.
Piga *150*01# Chagua 7
Kisha chagua 7



ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT