Msemaji wa SBS, Hussein Massanza amesema kiungo Bruno Gomes bado ana mkataba na timu hiyo na bado anahitajika, hivyo wazo la kumuuza kwa sasa halipo.
ADVERTISEMENT
“Bruno ana mkataba wa miaka mitatu na timu inamhitaji sana, hatuna mpango wa kumuuza kwa sasa.” alisema Hussein.
ADVERTISEMENT