Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa baada ya kukabidhi milioni 10 kwa klabu ya Yanga kwa kuichapa Real Bamako bao 2-0 ameipongeza klabu hiyo kwa kuendeleaza ushidi.
–
“Hongereni Yanga, fuko limerudi jepesi,” amendika Gerson Msigwa katika ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Instagram.
ADVERTISEMENT
–
ADVERTISEMENT
Hadi sasa Yanga imeshachukua milioni 30 kutoka kwa Rais Samia Suluhu Hassan ikiwa ni ahadi yake kwa Simba na Yanga iwapo watafunga goli lolote kwenye michuano ya Kimataifa.