Meneja wa wasanii na mdau wa mziki nchini, Mussa Babaz wa Babaz amefariki dunia siku ya leo Machi 13.
–
Msanii Stamina Shorwebwenzi kutoka kundi la Rostam alilokuwa akifanya nao kazi amedhibitisha taarifa za kifo hicho.
–
Mussa Babaz amefanya kazi na wasanii kadhaa kama Stamina na Roma (Rostam) Jay Melody na Young Killer.
–
Credit : East Africa TV
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT