ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Sunday, April 2, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

MWANAMKE AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA KUIBA KORODANI ZA MBUZI

Shabani Rapwi by Shabani Rapwi
Mar 16, 2023
in HABARI
0
MWANAMKE AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA KUIBA KORODANI ZA MBUZI
0
SHARES
40
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

ADVERTISEMENT

 

RelatedPosts

EX MSUMBUFU KUFUNGWA JELA MIAKA MITANO

EX MSUMBUFU KUFUNGWA JELA MIAKA MITANO

Apr 2, 2023

CAMERA ILIYOPOTEA MIAKA 13 YAPATIKANA KWENYE MATOPE PICHA BADO ZIPO VIZURI

Apr 2, 2023

AFUKUA MAITI YA MAMA YAKE NA KUKAA NAYO NDANI

Apr 2, 2023
Load More

 

Mwanamke mmoja Raia wa China jana siku ya Jumatano alifikishwa katika mahakama ya Nairobi nchini Kenya kwa kuiba na kusafirisha nje korodani za Mbuzi.
–
Kwa mujibu wa nyaraka za mahakama, mwanamke huyo anadaiwa kujipatia korodani hizo zenye thamani ya Shilingi milioni sita kwa njia ya udanganyifu, jarida moja liliripoti.
–
Mwanamke huyo aliyetambulika kwa jina Yunyan inasemekana alishiriki katika upataji wa korodani hizo kati ya Septemba mwaka 2021 na Novemba 2022 alisafirisha korodani za beberu kutoka Kenya kwenda nje zipatazo Zaidi ya kilo 804.
–
Marsa Goto Ado, mlalamishi katika kesi hiyo alisema aliwasilisha korodani za mbuzi kilo 804 na kilo zingine 113 kwa kampuni inayodaiwa kuendeshwa na Mchina huyo lakini hakulipwa pesa zake kiasi cha milioni 6 na ushee.
–
Bi Yunyan alikana mashtaka na akaachiliwa kwa dhamana ya Sh500,000 pesa taslimu au bondi mbadala ya Shilingi milioni moja na Hakimu Mkuu Mwandamizi.
–
Alitakiwa kuwasilisha pasipoti yake ya usafiri mahakamani akisubiri kesi yake kutajwa tena, kwani awali kulikuwa na wasiwasi wa kumnyima bondi kwa kile upande wa mlalamishi ulisema huenda angetoroka nchini. Kesi hiyo itatajwa tena Aprili 5.
–
Chanzo : Radio Jambo
ADVERTISEMENT

Related

Shabani Rapwi

Shabani Rapwi

Related Posts

EX MSUMBUFU KUFUNGWA JELA MIAKA MITANO
HABARI

EX MSUMBUFU KUFUNGWA JELA MIAKA MITANO

by Shabani Rapwi
Apr 2, 2023
CAMERA ILIYOPOTEA MIAKA 13 YAPATIKANA KWENYE MATOPE PICHA BADO ZIPO VIZURI
HABARI

CAMERA ILIYOPOTEA MIAKA 13 YAPATIKANA KWENYE MATOPE PICHA BADO ZIPO VIZURI

by Shabani Rapwi
Apr 2, 2023
AFUKUA MAITI YA MAMA YAKE NA KUKAA NAYO NDANI
HABARI

AFUKUA MAITI YA MAMA YAKE NA KUKAA NAYO NDANI

by Shabani Rapwi
Apr 2, 2023
MUUGUZI AFARIKI AKIJIFANYIA HUDUMA MWENYEWE
HABARI

MUUGUZI AFARIKI AKIJIFANYIA HUDUMA MWENYEWE

by Shabani Rapwi
Apr 2, 2023
CHINA NA BRAZIL ZAIKATAA DOLA YA MAREKANI
HABARI

CHINA NA BRAZIL ZAIKATAA DOLA YA MAREKANI

by Shabani Rapwi
Apr 2, 2023
YANGA TUNAHITAJI KUIFUNGA MAZEMBE TUONGOZE KUNDI
HABARI

YANGA TUNAHITAJI KUIFUNGA MAZEMBE TUONGOZE KUNDI

by Shabani Rapwi
Apr 1, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
March 2023
M T W T F S S
 12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
2728293031  
« Feb   Apr »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In