ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Wednesday, March 22, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

NAFASI ZA KAZI JWTZ HAZIUZWI OGOPA MATAPELI

Shabani Rapwi by Shabani Rapwi
Mar 10, 2023
in HABARI
0
NAFASI ZA KAZI JWTZ HAZIUZWI OGOPA MATAPELI
0
SHARES
20
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

 

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limesema katika nafasi zilizotangazwa leo za Vijana wa JKT kujiunga katika Jeshi hilo, wapo Matapeli watakaojitokeza ili kuwaibia Watu fedha kwa madai ya kuwauzia nafasi ambapo limesema nafasi hizo haziuzwi.

RelatedPosts

MECHI ZITASIMAMA EPL KUPISHA ‘IFTAR’

MECHI ZITASIMAMA EPL KUPISHA ‘IFTAR’

Mar 21, 2023

AFUNGIWA MIAKA 40 KUTOINGIA UWANJANI

Mar 21, 2023

MWANAFUNZI AFARIKI KWA KUPIGWA RISASI NA POLISI KENYA

Mar 21, 2023
Load More

 

 

–

 

 

 

Kaimu Mkurugenzi wa Habari na Uhusiano, Luteni Kanali Gaudentius Ilonda akiwa Dodoma amesema“Natambua katika matangazo haya ya kujiungana Jeshi kuna mwanya wa Matapeli utaibuka, Matapeli watapenda kutumia fursa hii, niwaombe Watanzania wote, Vijana na Wazazi wetu wasikubali Mtu kumwambia ‘nipigie simu kwamba nina fomu ya kujiunga’ kwanza hatutoi fomu”

 

 

–

 

 

ADVERTISEMENT

 

“Mtu atakuambia ‘nina nafasi ya Kijana wako uliyoniomba sasa nafasi imepatikana, nina Afande ninamfahamu yupo Makao Makuu ya Jeshi ana nafasi zake nipe hela nikufikishe kwake’, ndio maana Afande mwenye nafasi hizo Jeshini hayupo nafasi zipo kwa haki sawa tutawapima kwa vigezo vyao”,

 

ADVERTISEMENT

 

 

–

 

 

 

“Watanzania wasikubali kudanganyika hakuna njia ya mkato kwenye kupata hizi nafasi, katika hili la kupigiwa simu najua kwenye msafara wa mamba na kenge wapo kuna utapeli utaibuka, msikubali kutapeliwa”

Related

ADVERTISEMENT
Shabani Rapwi

Shabani Rapwi

Related Posts

AFUNGIWA MIAKA 40 KUTOINGIA UWANJANI
HABARI

AFUNGIWA MIAKA 40 KUTOINGIA UWANJANI

by Shabani Rapwi
Mar 21, 2023
MWANAFUNZI AFARIKI KWA KUPIGWA RISASI NA POLISI KENYA
HABARI

MWANAFUNZI AFARIKI KWA KUPIGWA RISASI NA POLISI KENYA

by Shabani Rapwi
Mar 21, 2023
WASIOJULIKANA WAFUKUA KABURI WATOA MWILI WA MAREHEMU NA KUONDOKA NA SEHEMU ZA SIRI
HABARI

WASIOJULIKANA WAFUKUA KABURI WATOA MWILI WA MAREHEMU NA KUONDOKA NA SEHEMU ZA SIRI

by Shabani Rapwi
Mar 21, 2023
BIKIRA JANE APATA MTOTO
HABARI

BIKIRA JANE APATA MTOTO

by Shabani Rapwi
Mar 21, 2023
ASKARI ANAYETUHUMIWA KUINGILIWA KINYUME NA MAUMBILE ASOMEWA MASHTAKA
HABARI

ASKARI ANAYETUHUMIWA KUINGILIWA KINYUME NA MAUMBILE ASOMEWA MASHTAKA

by ALFRED MTEWELE
Mar 21, 2023
SEVILLA YAMFUTA KAZI KOCHA JORGE SAMPOLI NA KUMTEUA KOCHA HUYO
HABARI

SEVILLA YAMFUTA KAZI KOCHA JORGE SAMPOLI NA KUMTEUA KOCHA HUYO

by Shabani Rapwi
Mar 21, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
March 2023
M T W T F S S
 12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
2728293031  
« Feb    
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In