ADVERTISEMENT
Katibu Mkuu wa TFF, Kidao Wilfred akimkabidhi jezi ya Timu ya Taifa Naibu Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo Hamis Mwinjuma baada ya kuwasili Misri kuiunga mkono Timu ya @TaifaStars_ambayo leo Machi 24,2023 inacheza na Uganda mchezo wa kufuzu AFCON 2023.
Akiwa katika nafasi hio ya Uongozi kwa mara ya kwanza Naibu Waziri Mwinjuma aonesha nia ya dhati kusongesha kurudumu hilo la michezo kwa nafasi yake liweze fika mbali kwa kuwapa hamasa ya kushiriki kwa ukaribu zaidi kama sehemu ya uzalendo wa taifa lake.
ADVERTISEMENT