Mshambulizi wa Brazil Neymar adhihirisha kutokuwa na hamasa yoyote ile ya kutoka katika mfumo wa LEAGUE 1 ya Ufaransa.
Baada ya Klabu io kuonyesha jitihada ya kutaka punguza nyota wake ili kupunguza matumizi yake kupitia mishaara inayowalipa wachezaji hao lakini kwa uapnde wa Mkali huo Neymar bado hatarajii kuondoka PSG kwa vile anataka kumaliza soka yake na klabu hiyo ya Ufaransa. (Athletic)
Kwani tangu aanza kuitumikia klabu hio amepata nafasi kubwa zaidi ya kuaminika katika kupewa nafasi kwenye kikosi cha kwanza kwa Timu hio tofauti na ilivyokuwa awali.