Msanii Otile Brown kutoka nchini Kenya amepost jana kupitia insta story na kusema kuwa ameibiwa bangili yake ya dhahabu wakati akiwa nchini Ujerumani.
–
“Wameniibia moja ya bangili yangu ya Dhahabu kirahisi” Aliandika Otile Brown
–
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT
Hii imekuwa si mara ya kwanza kwa Otile Brown kutangaza kuibiwa moja ya vitu vyake. Mwezi januari mwaka huu akiwa nchini Tanzania alithibitisha kuibiwa computer zake mbili akiwa jijini Dar es salaam.