Rais wa Kenya William Ruto amemuonya kiongozi mkuu wa upinzani Raila Odinga kuhusu maandamano ya umma yaliyopangwa kufanyika Jumatatu ijayo 20,Machi,2023
–
Rais Ruto amesema hatamruhusu Bwana Odinga kufanya maandamano yatakayohatarisha maisha ya Wakenya huku akiongeza kuwa Kenya ni nchi inayoongozwa kwa misingi ya sheria na hakuna mtu ambaye yuko juu ya sheria hizo
ADVERTISEMENT