Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewasili nchini Afrika Kusini kwa ajili ya kuanza ziara rasmi ya kiserikali kuanzia leo tarehe 15 Machi 2023.
–
Rais Samia amepokelewa na Balozi wa Tanzania nchini humo Meja Jenerali Gaudence Milanzi na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Stergomena Tax.
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT