Kampuni ya MobiAd leo imeingia makubaliano rasmi na Uongozi wa klabu ya Simba kuwa Mdhamini mkuu wa Timu ya Simba Vijana kwa mkataba wenye thamani ya Shilingi Milioni 500.
ADVERTISEMENT
Hivyo kuanzaia leo Jezi za Timu hio ya Simba Vijana itatumia Logo au msimbo wa Kampuni hio katika kuwakilisha nafadhi ya udhamini wake katika timu hio.
ADVERTISEMENT